Asante mkuu. Nilijua nipo outdated nikataka niitoe hii ya sebuleni na niiweke hiyoHizi ni kwa ajili ya music lovers and enthusias, wale wanaopenda muziki mzuri popote wanapokuwepo.
Haziondoi uwepo wa subwoofers, wala music system sebuleni au chumbani, hii ni mobile package kwa ajili ya audiophiles.
Unapokuwa outdoors kama vile beach, kazini au logde ugenini au popote pale ambapo huwezi ukabeba woofer yako ya sebuleni. Hii ndo inakuwa mbadala wa kukuliwaza kwa wakati huo.
Ndo sababu zinaitwa portable speakers, huwezi ukanunua hii ati uiweke sebuleni , hell no .
Ofcourse ni outdated speaker latest siku hizi zote ni WirelessAsante mkuu. Nilijua nipo outdated nikataka niitoe hii ya sebuleni na niiweke hiyo
Sio vizuri,sema wapo vizuri sana,sound quality,good bass system na hapa ndio penyewe hasa,mtambo mdogo bass kubwa na nzuri...Ahsante kwa taarifa... JBL wapo vizuri...
Asante mkuuOfcourse ni outdated speaker latest siku hizi zote ni Wireless
Zinafaa kwenye gari piaHapana mkuu...hako tena nakauza kwa bi ya jumla 120k
Ni Portable...kambi popoteZinafaa kwenye gari pia
Karibu sanaAsante mkuu
Flips zimeniishia kwa sasaflip 4 na 5 unauylzaje
Chukua go3 you get something more Portable for just tsh.130,000/=flip 4 na 5 unauylzaje
Nilikua na JBL Horizon 2 Portable zilikua na FM radio but hazikua powerful kama charge au flipDo you have JBL with FM radio: nawaza kama hili toleo halipo
Hapana mkuuJBL boombox 2 unauzaje
Aina gani unataka?Una headphones zake mkuu, zile kubwa wireless