Haha siwezi kukubishia
Mimi natumia hii kwa ajili ya njiani tu na out doors
Sebuleni kuna kenwood ya mtumba wa Japan , A5j series, the cheapest music sound you can have in town, but bandit when it comes to cranking sound.
Kwa sasa zitakuwa aroud laki tani au sita , kutegemeana na specsZinauzwaje hizi?
Ndio mkuu ipoJBL Xtreme 2 je unayo?
Au naweza kupata speaker na betri zake??
BeiNdio mkuu ipo
Soory bei niliyokupa ni ya xtreme 3
Ngoja nizichange change. Za kichina zinakufa haraka.Karibuni wadau
Hapana it is an American BrandOk hivi hii brand ni ya mchina??
Karibu mkuuNgoja nizichange change. Za kichina zinakufa haraka.
KaribuUnauza bei nzuri sana 500k?
View attachment 2099545
Manake nini?Wapigwe Tu Tumechoka