Je, 2006 inajirudia Mashariki ya Kati?

Hezbollah labda kama sio hawa , ukiua mtu leo atateuliwa mwingine 😀 😀 😀 ...Hao jamaa hapana sio rahisi kuwavuruga kiuzalendo ....Hilo shambulio la pagers ndio lingewarudisha nyuma ila ,timing kumchinja kobe hapo .
Nasrullah kauawa tayari mzee teueni mwingine
 

Your browser is not able to display this video.
 
Hizo story za kina Goliath mimi siziwekei uzito.
Mimi nawekea uzito kwenye current issues.
Israel haina jeshi gumu kama udhaniavyo,vita ya Gaza pekee imewasababishia askari 70,000 wa Israel kuwa walemavu wa kudumu.
Sasa sijui wakipigana na Hizbollah itakuajem
 
Nataka nikupe Insight ujue Israeli ni Nchi ya namna gani.

Tanzania Nchi yenye Population ya 65+M tuna watumishi wa umma wasiozisi laki tano walimu, wauguzi, madaktari, polisi, majeshi yoote inclusive plus matawi mengine ya umma.

Kwa hiyo ukiniambia Wanajeshi 70,000 wamekuwa walemavu ndani ya Taifa lenye population isiyozidi 15M you know what. I am saying?
 
Unajua kikosi cha askari 70,000 ni pigo gani kwa jeshi!?
Hao ni walemavu wa kudumu wamepatikanika katika vita moja tu ya Gaza.
Kuna majeruhi wengine ambao wanauguza majeraha.
Usichukulie vitu kiwepesi mkuu.
 
Unajua kikosi cha askari 70,000 ni pigo gani kwa jeshi!?
Hao ni walemavu wa kudumu wamepatikanika katika vita moja tu ya Gaza.
Kuna majeruhi wengine ambao wanauguza majeraha.
Usichukulie vitu kiwepesi mkuu.
 
Umechambua vizur ila kuna jambo umeshindwa kuling'amua...huwez jua kwa Nini hyo 2006 mu Israel amerud nyuma na Sasa ni miaka almost 14...kuna watu wanacheza na war strategies kwa kufanya kuweka mapandikizi,kujua mbinu,zana mnakozificha....Sasa huyu karusha rocket tangu vita ya ghaza...ila usichokijua Muisrael alifanya tathimin ya kuwa na vita sehem mbili akaona hautakuwa worth kwake ..kaaamua kumalizana na Gaza kwanza...Sasa Kule hakuna jipya..nguvu kaamishia huko north...ebu tuone mwsho wake...ila ndo Ivo yakitikea ya ghaza kuna serikali ya Lebanon itaanguka ..kitu ambacho naona wanavutana mpka Sasa hiv
 
Hakuna raia wa Lebanon yupo tayari kuona Lebanon inateremshiwa makombora na kuua maelfu ya watoto.

Hilo suala ndilo Israel mpaka sasa anatumia kama nafasi ya kutamba.

Hata Hezbollah wapo kimya, licha ya mamia kufariki Lebanon kwa mashambulizi ya IDF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…