Je, 500,000 inatosha kuanzisha ufugaji wa mbuzi wa kienyeji?

Labda ufuge mbuzi wa kufunga kamba, ila changamoto inakuwa ulinzi

Sh laki tano unapata majike kama 6 yanayozaa pacha halafu unachukua dume moja kubwa la laki moja
Mkuu wap naweza pata hao majike wanaozaa mapacha? Mie nipo dar
 
Boer 100% kupata huwezi mzee ila iliyochanganywa boer na aina nyingine ya mbuzi unaeza pata wengi wapo bukoba wanaochukuliwa Uganda.
Ooh mie binafsi nilikuwa natafuta mbuzi aina ya boer, km kuna mtu anafahamu walipo naomba connect
 
Ooh mie binafsi nilikuwa natafuta mbuzi aina ya boer, km kuna mtu anafahamu walipo naomba connection

..watafute jamaa wa Mbogo Ranches wako maeneo ya Chalinze [ Ubena Zomozi] wanaweza kukusaidia kuagiza toka South Africa. Ila bei ya mbuzi hao ni kubwa kwelikweli inabidi ujipange.

..wafuatilie hapa Login • Instagram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…