Faru Tobbi
Senior Member
- Oct 29, 2018
- 195
- 201
mwenyewe nashangaa wapi huko kijiji gani hichoMbuzi au watoto wa mbuzi? Maana kwa hesabu hiyo huko mbuzi mmoja anapatikana kwa 25,000Tsh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwenyewe nashangaa wapi huko kijiji gani hichoMbuzi au watoto wa mbuzi? Maana kwa hesabu hiyo huko mbuzi mmoja anapatikana kwa 25,000Tsh.
nyasi, majani ya miti kma miembe, muarobaini, kuna aina fulani ya miti ya mbao inakua mnene, marando ya viazi, pumba za mahindiNaomba kujua hao mbuzi mnawalisha Nini wadau?
Yeahh 25k ni standad kabisa hta kwa minada ya mwanza hapa, kwani huko mjini bei ipoje tulete mbuzi hukoMbuzi au watoto wa mbuzi? Maana kwa hesabu hiyo huko mbuzi mmoja anapatikana kwa 25,000Tsh.
Kigoma mbuzi wako na bei kubwa kuliko ulotaja hapo, ila hawauziki kwa kasi saana.Yeahh 25k ni standad kabisa hta kwa minada ya mwanza hapa, kwani huko mjini bei ipoje tulete mbuzi huko
Duh mwenyewe I'm ishangaza Mbuzi bei 25 inawezekana lakini japo ni jambo geni kujuaKigoma mbuzi wako na bei kubwa kuliko ulotaja hapo, ila hawauziki kwa kasi saana.
Mbuzi uzao mapacha wanapatikana kisiwa cha Songosongo..... huku ni uhakika kupata.
Ukihitaji ni DM