Je ni sahihi mtu mwenye basic ya 1.5M. Ukomo wake wa mkopo uwe ni 14 milion tu?Sasa ndugu yangu Kwa miezi 96 , wao wanapata faida gan mkuu Kwa miez yote hyo , wakat kiuhalisia bank wanatengeneza faida kupitia mikopo , yani mtu akupe mkopo wa mil 14, alafu ilalie upande wake?? Kopa ndani ya miezi 12 uone interest rate yake
Sasa kama ana topup au ana mkopo mwingine si lazima ngoma ishuke bosi.Je ni sahihi mtu mwenye basic ya 1.5M. Ukomo wake wa mkopo uwe ni 14 milion tu?
Easy loanNimewasiliana na wakala wa Bank ABC juu ya mkopo
Tazameni wenyewe, naomba ABC bank mtolee ufafanuzi huu ni mkopo au kausha damu?
Hivi mtu ukope milionin14 urushe 39 huu si wizi kabisa?
Ndugu watumishi wa umma pamoja na walimu epukeni mikopo
Najuta sitarudia tena!
View attachment 2753145