Je, ABC bank wanatoa mikopo Kausha damu? Nimestaajabu sana

Hiyo siyo benk ya maana,benk zinazoeleweka ni crdb na nmb kwenye ess masaa 24 tu mambo tayar,
Hao benk abc hata ukimaliza mkopo wanaendlea kukata ela mpaka uandike barua kwa meneja wao na afisa utumishi ndiyo wanasitisha pia hela ya ziada waliyokata kuirudisha mpaka uandike tena barua.
 
Pole sana mkuu.

Riba ndiyo mchawi mkuu kwenye mkopo wowote ule.
 
NBC pia wana tabia hii. mwezi lzm ufike na kupita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…