Je, Adam aliumbwa akiwa na maumbile ya kiume?

raxx

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2016
Posts
326
Reaction score
284
Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege

Hapakuwa na mwanamke kwa nini apewe hivyo vitu

Hoja yangu: Adamu aliumbwa akiwa sio mwanaume
 
Angejihisi vipi mpweke bila hizo mambo? Baada ya kuona wanyama wapo wawili wawili, aliumbwa nazo ila Mungu alihitaji aonyeshe uhitaji ndio amletee mwanamke, hata Leo huwezi kuoa mpaka utakapoona kuna sehemu unapungua, kama hujaona watu watakupigia kelele Sana ila hata hujali kuoa
 
Mkuu unajua Mwanamke hakua kwenye mpango wa sir God hapo mwanzo
 
Ulishawahi kusikia mwanamke anaitwa Adam? Ndo ujue kuwa adam lilikuwa given baada ya ku-proof presence of all man organs!!
 
Je Adamu aliumbwa akiwa na maumbile timilifu ya kiume?
jina Adam sio kigezo kuwa alikuwa na maumbile timilifu ya kiume couse Mungu angeweza kumuita Joshua, Juma, Shabani so Adamu ni Jina kama majina mengine
 
Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege

Hapakuwa na mwanamke kwa nini apewe hivyo vitu

Hoja yangu: Adamu aliumbwa akiwa sio mwamaume
Unajua maana ya neno "mwanaume" linawakilisha vyema "uume" (dushelele), hoja yako ipo kinyume na uumbaji wa Mungu, Mungu aliumba kila kitu ktk mwili wa Adam, Soma vizuri maandiko yanaelezea vyema kabisa.
 
Ndiyo aliumbwa na maumbile ya kiume na pia
Hii inathibitisha kuwa Eva au Hawa hakuwa mwanamke wa kwanza. Kwanini.
Alikuwepo lilith ambae aliumbwa kutokana na udongo akaja msaliti Adam then akaenda kwa shetani.
So walivyoumbwa kwa udongo kila mtu kivyake yaani Adam na Hawa so jinsia ziliwatenganisha.
So adama baada ya kukimbiwa ndio upweke wa nyege ukawepo so ili kuzuia hilo Mungu akaamua amtoe mwanamke ndani ya mwili wake Adam ili waendane.

So, jinsia alikuwa nayo na alikuwa mwanaume na mfumo wake wa uzazi alikuwa nao.

Adam ni mwanaume.
Nb pitia uzi wa mshana kuhusu Lilith aka joka kuu
 
Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege

Hapakuwa na mwanamke kwa nini apewe hivyo vitu

Hoja yangu: Adamu aliumbwa akiwa sio mwamaume
Aiseee huna hoja, uke ndio msingi wa mwanamke , uume ndio msingi wa mwanaume. Sasa nn unaleta hapa mezani kama mjadala ?
 
Unajua maana ya neno "mwanaume" linawakilisha vyema "uume" (dushelele), hoja yako ipo kinyume na uumbaji wa Mungu, Mungu aliumba kila kitu ktk mwili wa Adam, Soma vizuri maandiko yanaelezea vyema kabisa.

Unajua maana ya neno "mwanaume" linawakilisha vyema "uume" (dushelele), hoja yako ipo kinyume na uumbaji wa Mungu, Mungu aliumba kila kitu ktk mwili wa Adam, Soma vizuri maandiko yanaelezea vyema kabisa.
Sawa mkuu sasa uume ulikuwa wa kazi gani? Wakati mwanamke hakuwepo hapo mwanzo.
 
Hii inathibitisha kuwa Eva au Hawa hakuwa mwanamke wa kwanza. Kwanini.
Alikuwepo lilith ambae aliumbwa kutokana na udongo akaja msaliti Adam then akaenda kwa shetani.
So walivyoumbwa kwa udongo kila mtu kivyake yaani Adam na Hawa so jinsia ziliwatenganisha.
So adama baada ya kukimbiwa ndio upweke wa nyege ukawepo so ili kuzuia hilo Mungu akaamua amtoe mwanamke ndani ya mwili wake Adam ili waendane.

So, jinsia alikuwa nayo na alikuwa mwanaume na mfumo wake wa uzazi alikuwa nao.

Adam ni mwanaume.
Nb pitia uzi wa mshana kuhusu Lilith aka joka kuu
Kuna logic hapa
 
Mkuu unajua Mwanamke hakua kwenye mpango wa sir God hapo mwanzo

Na Ndio mana hakuna mwanamke ataingia peponi!!!kule ni ndume tu.Peponi hakuna mwanamke.Ndiomana Mungu alisema tuumbe Mtu kwa Mfano wetu.,Akaumbwa mwanamume.So Tutakuwa na wale ambao ni Mfano wa Mungu.Hakuna Mwanamke Ataona Pepo
 
Aiseee huna hoja, uke ndio msingi wa mwanamke , uume ndio msingi wa mwanaume. Sasa nn unaleta hapa mezani kama mjadala ?
Hoja ipo mkuu. Tumzungumzie Adam maana ndio wakwanza kuumbwa and nazungumzia tamaa ya ngono, sexual homoni, na korodani kuhusu uume hauna kazi moja.

Sasa hoja yangu ni kuwa kama aliumbwa na tamaa ya ngono alafu hakuna mwanamke alikuwa anajistili vipi huyu ndugu yetu?

Ndio nika conclude kwamba kuna high probability kuwa Adam hakuumbwa na hizo mambo.
 
Mwanzo 1:27-28
[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
[28]Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.

Nb Wanazalianeje kama hakuna uzalishaji wa mbegu, hisia za mapenzi.?
 
Nimeshindwa hata ku comment.

Back
Top Bottom