Je, Adam aliumbwa akiwa na maumbile ya kiume?

Je, Adam aliumbwa akiwa na maumbile ya kiume?

Tafsiri ya upweke ni ipi kama sio kutaka kuwa na mwenza wakutane kimwili? Alikuwa nao ndo maana akawa mpweke akaletewa wa kumuondolea upweke. Mbona hakuletewa mshakji wapige story?
 
Tafsiri ya upweke ni ipi kama sio kutaka kuwa na mwenza wakutane kimwili? Alikuwa nao ndo maana akawa mpweke akaletewa wa kumuondolea upweke. Mbona hakuletewa mshakji wapige story?

Kwaiyo mwamba asingeona upweke. Eva asingeumbwa si ndio unachomaanisha mkuu?

All in all upweke uliozungumziwa pale sio nyege mkuu bali mwamba aliitaji msaidizi sababu alipewa majukumu mule bustanini

Na kama upweke means nyege, Je Adam na Eva walikuwa wanahave sex mule bustanini?
 
Angejihisi vipi mpweke bila hizo mambo? Baada ya kuona wanyama wapo wawili wawili, aliumbwa nazo ila Mungu alihitaji aonyeshe uhitaji ndio amletee mwanamke, hata Leo huwezi kuoa mpaka utakapoona kuna sehemu unapungua, kama hujaona watu watakupigia kelele Sana ila hata hujali kuoa
Sasa mbona wanadai kosa lake (kula tunda) ni kufanya ngono na Eva?
 
Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege

Hapakuwa na mwanamke kwa nini apewe hivyo vitu

Hoja yangu: Adamu aliumbwa akiwa sio mwanaume
adam aliubwa na mkewe. sasa utaumbaje kiumbe kikadhaliane na kipo pekeyake?
 
Ndiyo aliumbwa na maumbile ya kiume na pia
Hii inathibitisha kuwa Eva au Hawa hakuwa mwanamke wa kwanza. Kwanini.
Alikuwepo lilith ambae aliumbwa kutokana na udongo akaja msaliti Adam then akaenda kwa shetani.
So walivyoumbwa kwa udongo kila mtu kivyake yaani Adam na Hawa so jinsia ziliwatenganisha.
So adama baada ya kukimbiwa ndio upweke wa nyege ukawepo so ili kuzuia hilo Mungu akaamua amtoe mwanamke ndani ya mwili wake Adam ili waendane.

So, jinsia alikuwa nayo na alikuwa mwanaume na mfumo wake wa uzazi alikuwa nao.

Adam ni mwanaume.
Nb pitia uzi wa mshana kuhusu Lilith aka joka kuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo adamu aliumbwa na via vya uzazi ili amzalishe mbuzi?
Na mimi ndio najiuliza Mkuu,
kama aliumbwa na via vya uzazi aje azalishe nani? Mbuzi? Maana mwanamke hakuwepo?
 
Na mimi ndio najiuliza Mkuu,
kama aliumbwa na via vya uzazi aje azalishe nani? Mbuzi? Maana mwanamke hakuwepo?
Nadhani mungu alijua kuwa ipo siku atavihitaji, thats y alimuumba navyo.
 
Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege

Hapakuwa na mwanamke kwa nini apewe hivyo vitu

Hoja yangu: Adamu aliumbwa akiwa sio mwanaume
So you mean Adam was transgender maana inaelekea unataka kuhalalisha jambo hapa.Niende to the extreme side,kwamba aliumbwa bila viungo vya jinsia yeyote.,kitu ambacho si kweli.Yeye ni Mungu,na ndiye aliyemuumba,kwa hiyo alikuwa na haki ya kumfanyia anachotaka.On the other hand,binadamu ameumbwa na Mungu kwa hiyo hana haki ya ku-modify chochote mwilini mwake,alifanya hivyo he is going against his Creator and is a sin.

Lakini kwa nini nimesema Adam hakuwa transgender. Katika kitabu cha Mwanzo 1:31 tunasoma maneno haya ,"Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita. " Hii inaonyesha kwamba alichoumba Mungu lilikuwa complete.Ndio katika Mwanzo 2:18,Mungu anasema "Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye." This only proves that Adam was created complete with male organs,ndio maana Mungu aliona alihitaji Mwanamke,and hence the need for a woman.Jaribuni kuwa positive,do not be trapped into accepting stupid and evil ideas.
 
Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege

Hapakuwa na mwanamke kwa nini apewe hivyo vitu

Hoja yangu: Adamu aliumbwa akiwa sio mwanaume
Kwa andiko lako naamini mwanamke wa kwanza hakuwa Hawa bali ni Lilit

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom