Mk sender New Member Joined Jul 23, 2022 Posts 1 Reaction score 0 Aug 17, 2022 #81 Mimi nahisi vyote hivyo vilikuwa vimekamilika kwa adam au umesha wahi kuskia kwamba baada ya Eva kuumbwa Mungu alimwongezea Adam vingine?
Mimi nahisi vyote hivyo vilikuwa vimekamilika kwa adam au umesha wahi kuskia kwamba baada ya Eva kuumbwa Mungu alimwongezea Adam vingine?
Mayala masuka JF-Expert Member Joined Jan 22, 2014 Posts 449 Reaction score 795 Aug 18, 2022 #82 ZENITH said: Na pia Adam aliumbwa akiwa na miaka mingapi?/umri gani? Click to expand... Duuh skuwah kufikiria hii ktu Ila nakiri ni swali lenye mantinki ndani yake
ZENITH said: Na pia Adam aliumbwa akiwa na miaka mingapi?/umri gani? Click to expand... Duuh skuwah kufikiria hii ktu Ila nakiri ni swali lenye mantinki ndani yake