Je Adamu aliumbwa akiwa na maumbile timilifu ya kiume?Ulishawahi kusikia mwanamke anaitwa Adam? Ndo ujue kuwa adam lilikuwa given baada ya ku-proof presence of all man organs!!
Unajua maana ya neno "mwanaume" linawakilisha vyema "uume" (dushelele), hoja yako ipo kinyume na uumbaji wa Mungu, Mungu aliumba kila kitu ktk mwili wa Adam, Soma vizuri maandiko yanaelezea vyema kabisa.Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege
Hapakuwa na mwanamke kwa nini apewe hivyo vitu
Hoja yangu: Adamu aliumbwa akiwa sio mwamaume
Aiseee huna hoja, uke ndio msingi wa mwanamke , uume ndio msingi wa mwanaume. Sasa nn unaleta hapa mezani kama mjadala ?Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege
Hapakuwa na mwanamke kwa nini apewe hivyo vitu
Hoja yangu: Adamu aliumbwa akiwa sio mwamaume
Unajua maana ya neno "mwanaume" linawakilisha vyema "uume" (dushelele), hoja yako ipo kinyume na uumbaji wa Mungu, Mungu aliumba kila kitu ktk mwili wa Adam, Soma vizuri maandiko yanaelezea vyema kabisa.
Sawa mkuu sasa uume ulikuwa wa kazi gani? Wakati mwanamke hakuwepo hapo mwanzo.Unajua maana ya neno "mwanaume" linawakilisha vyema "uume" (dushelele), hoja yako ipo kinyume na uumbaji wa Mungu, Mungu aliumba kila kitu ktk mwili wa Adam, Soma vizuri maandiko yanaelezea vyema kabisa.
Kuna logic hapaHii inathibitisha kuwa Eva au Hawa hakuwa mwanamke wa kwanza. Kwanini.
Alikuwepo lilith ambae aliumbwa kutokana na udongo akaja msaliti Adam then akaenda kwa shetani.
So walivyoumbwa kwa udongo kila mtu kivyake yaani Adam na Hawa so jinsia ziliwatenganisha.
So adama baada ya kukimbiwa ndio upweke wa nyege ukawepo so ili kuzuia hilo Mungu akaamua amtoe mwanamke ndani ya mwili wake Adam ili waendane.
So, jinsia alikuwa nayo na alikuwa mwanaume na mfumo wake wa uzazi alikuwa nao.
Adam ni mwanaume.
Nb pitia uzi wa mshana kuhusu Lilith aka joka kuu
Mkuu unajua Mwanamke hakua kwenye mpango wa sir God hapo mwanzo
Hoja ipo mkuu. Tumzungumzie Adam maana ndio wakwanza kuumbwa and nazungumzia tamaa ya ngono, sexual homoni, na korodani kuhusu uume hauna kazi moja.Aiseee huna hoja, uke ndio msingi wa mwanamke , uume ndio msingi wa mwanaume. Sasa nn unaleta hapa mezani kama mjadala ?
We fala kabisa, Eva hakuletwa ili kushangaa wanyama bali aliletwa ili uume upate pa kupenya, soma maandiko bwasheeSawa mkuu sasa uume ulikuwa wa kazi gani? Wakati mwanamke hakuwepo hapo mwanzo.
Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege
Hapakuwa na mwanamke kwa nini apewe hivyo vitu
Hoja yangu: Adamu aliumbwa akiwa sio mwanaume