Je, Adam aliumbwa akiwa na maumbile ya kiume?

Tafsiri ya upweke ni ipi kama sio kutaka kuwa na mwenza wakutane kimwili? Alikuwa nao ndo maana akawa mpweke akaletewa wa kumuondolea upweke. Mbona hakuletewa mshakji wapige story?
 
Tafsiri ya upweke ni ipi kama sio kutaka kuwa na mwenza wakutane kimwili? Alikuwa nao ndo maana akawa mpweke akaletewa wa kumuondolea upweke. Mbona hakuletewa mshakji wapige story?

Kwaiyo mwamba asingeona upweke. Eva asingeumbwa si ndio unachomaanisha mkuu?

All in all upweke uliozungumziwa pale sio nyege mkuu bali mwamba aliitaji msaidizi sababu alipewa majukumu mule bustanini

Na kama upweke means nyege, Je Adam na Eva walikuwa wanahave sex mule bustanini?
 
Sasa mbona wanadai kosa lake (kula tunda) ni kufanya ngono na Eva?
 
adam aliubwa na mkewe. sasa utaumbaje kiumbe kikadhaliane na kipo pekeyake?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo adamu aliumbwa na via vya uzazi ili amzalishe mbuzi?
Na mimi ndio najiuliza Mkuu,
kama aliumbwa na via vya uzazi aje azalishe nani? Mbuzi? Maana mwanamke hakuwepo?
 
Na mimi ndio najiuliza Mkuu,
kama aliumbwa na via vya uzazi aje azalishe nani? Mbuzi? Maana mwanamke hakuwepo?
Nadhani mungu alijua kuwa ipo siku atavihitaji, thats y alimuumba navyo.
 
So you mean Adam was transgender maana inaelekea unataka kuhalalisha jambo hapa.Niende to the extreme side,kwamba aliumbwa bila viungo vya jinsia yeyote.,kitu ambacho si kweli.Yeye ni Mungu,na ndiye aliyemuumba,kwa hiyo alikuwa na haki ya kumfanyia anachotaka.On the other hand,binadamu ameumbwa na Mungu kwa hiyo hana haki ya ku-modify chochote mwilini mwake,alifanya hivyo he is going against his Creator and is a sin.

Lakini kwa nini nimesema Adam hakuwa transgender. Katika kitabu cha Mwanzo 1:31 tunasoma maneno haya ,"Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita. " Hii inaonyesha kwamba alichoumba Mungu lilikuwa complete.Ndio katika Mwanzo 2:18,Mungu anasema "Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye." This only proves that Adam was created complete with male organs,ndio maana Mungu aliona alihitaji Mwanamke,and hence the need for a woman.Jaribuni kuwa positive,do not be trapped into accepting stupid and evil ideas.
 
Kwa andiko lako naamini mwanamke wa kwanza hakuwa Hawa bali ni Lilit

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…