Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hii sheria ilitungwa na Bunge mwaka 1969 na kifungu cha pili cha sheria hii kilizuia na kukataza Machifu kufanya shughuli zozote za kiutawala.
Sasa leo nimesikia mkuu wa nchi akiagiza machifu wakafanye kazi za kiutawala hasa kushughulikia kero za watu kutekwa.
Je, hii sheria ilishafutwa? Au Rais ndio anavunja sheria za Bunge?
PIA SOMA
- Rais Samia awaagiza Wizara ya Utamaduni kuwafundisha vijana mila na desturi kupitia michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA