Machief watasaidia kulinda mila na desturi zetu katika jamii husika.
Kwasasa maadili yameharibika Sana labda machief watasaidia kufanya watu wajilinde bila ngono mpaka ndoa tumechoka kusikia talaka kila siku kisa mke wa ndoa kafumaniwa na x wake wa shule ya msingi