Je, Aga Khan Sea View, ni kwa wahindi, wabunge, mawaziri na viongozi wa juu wa Serikali tu?

Hata wabongo mkipata hela zenu za wizi mnajitenga kwa mageti makubwa, fensi za umeme, magari makubwa with tinted glass na wengine mnahama kabisa kwenda kuishi Dubai....!

That's what money does to most of the people...wezi wanaotajwa na CAG kila mwaka are mostly our owns: wahaya, wachaga nk...
Muuueeeee!!!!!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mnao tetea ubaguzi huu wa tiba naomba mfafanue pia kuhusu hizo hospitali za Aga Khan zilizotengwa uswazi na wafanyakazi wa kiswazi tu, je, wanauhusiano wowote na viwango vya malipo ya huduma? Kwanini wahindi hawahudumu kwenye hospitali hizi?

Mkuu pata pesa ya kutosha ukatumie cash ama uajiriwe sehemu zenye mishahara ya bima zinaozkubalika Agakhan utaenjoy sana
 
Anaitwa somebody Mshali
Unaona sasa,mbunge ukute ana taarifa ya huyo mhitaji,badala atumie utu,awasiliane hata na wadau wake au afanye harambee,amuokoe muhitaji,kamyuti tu.Siasa bhana.Wenzake akina Bashe,wanajitahidi sana kuwasaidia wahitaji,jimboni kwao,sijui hao akina Mshali hawaoni?
Mungu atamsaidia huyo mgonjwa,atapata msaada stahki.
 
Juzi tu niliplka mtoto hospital moja private kubwa tu Zanzibar jina kapuni alikua na asthma attack canula nimeletewa tatu ikatumika moja mbili zikabak kwa doctor nauliza hizi zote za kwake jibu sikulipata[emoji18]
Cannula za buku buku nazo mnataka mgombanie?
 
Kwani Muhimbili, Hindu Mandal na hospitali zote zisizo na ubaguzi wagonjwa wanatibiwa kwa gharama moja? Nijuavyo kote kuna madaraja na kila mmoja anatibiwa kwa uwezo wake.

Inategemea na aina ya dawa na matibabu wanayotoa dawa zinatofautiana pia na aina ya huduma narudia tena mimi ni muafrika sina NHIF na sijawahi kutibiwa agakhan lkn watoto wa dada yangu nawaplka agakhan kutibiwa wana bima za TCRA na wanatibiwa na mimi ndio nawapeleka na hatujawahi kufanyiwa vitendo vyovyote vya kibaguzi nafkir kwako ni bima haijakidhi vigezo kutibiwa hapo ipo na category zake kuna dada yangu mwengne nilimplkea form zake za NHIF ya binafsi tu wakati nachkua nikaambiwa hawez kutibiwa Global,Alrahma wala Tawakkal ( hizi ndio hospital kubwa kwa Zanzbar) so hii hawez kwenda nayo Agakhan
 
Katikati ya mwaka huu yaani 2023 mwezi wa sita nilikwenda hospitali ya Aga Khan iliyopo Sea View Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu, kama taratibu zilivyo niliwasilisha kadi yangu ya bima ya afya ilipokelewa na nikapewa jibu kuwa siwezi kutibiwa kwenye hospitali hiyo!

Haikuwa shida kwangu, nikaenda hospitali ya Shree Hindu Mandal iliyopo Upanga na nikapata tiba kwa kutumia kadi hiyohiyo.

Mwezi huu wa kumi nilienda kwenye tawi la hospitali ya Aga Khan lililopo uswahilini na nikisema uswahilini ni uswahilini kweli kwani madakitari, manesi na wafanyakazi wengine ni waswahili wenyewe wanakili wahindi wa uzao wa Aga Khan hawakanyagi huku uswazi!

Baada ya kupata tiba kwenye hilo tawi letu la hospitali ya Aga Khan nikamuuliza dakitari kuhusu hospitali mama ya Sea View, naye hakusita kuniambia kuwa kule ni kwa wahindi, wabunge, mawaziri na viongozi wa juu wa serikali, nikajua kuwa ukiwapendelea hawa basi jambo lako litakwenda vizuri bila kuhojiwa.

Miaka iliyopita tulikuwa tukitibiwa bila tatizo kwenye hospitali hiyo ya Aga Khan Sea View licha ya tatizo la hawa wazalendo watanzania wenzetu kutokujua kiswahili vizuri, lakini walipoona tunawabana wakatufungulia matawi uswazi na madakitari wetu wakiswazi tumaliziane huku huku.
Tafuta hela unafikiri diamond hatibiwi pale ulipofukuzwa?
 
Inategemea na aina ya dawa na matibabu wanayotoa dawa zinatofautiana pia na aina ya huduma narudia tena mimi ni muafrika sina NHIF na sijawahi kutibiwa agakhan lkn watoto wa dada yangu nawaplka agakhan kutibiwa wana bima za TCRA na wanatibiwa na mimi ndio nawapeleka na hatujawahi kufanyiwa vitendo vyovyote vya kibaguzi nafkir kwako ni bima haijakidhi vigezo kutibiwa hapo ipo na category zake kuna dada yangu mwengne nilimplkea form zake za NHIF ya binafsi tu wakati nachkua nikaambiwa hawez kutibiwa Global,Alrahma wala Tawakkal ( hizi ndio hospital kubwa kwa Zanzbar) so hii hawez kwenda nayo Agakhan
Al Rahma siyo hospital kubwa Zanzibar ila inajulikana na hata ukiwa huna bima gharama zake Za kawaida sana nilishatibiwa mara kadhaa.
 
Cannula za buku buku nazo mnataka mgombanie?

Sikumuuliza kwanini amechkua kwasababu ni buku sio big deal na hata ingekua dawa ya garama basi ningemuacha tu kwasababu sitoi mia yangu hapo aliagiza canula tatu na akatumia moja na sikumwambia anirudshie nilimuulza tu zote za kwake akacheka akatumia moja kwasabbu kila mtu anajua kua ni wizi
 
Al Rahma siyo hospital kubwa Zanzibar ila inajulikana na hata ukiwa huna bima gharama zake Za kawaida sana nilishatibiwa mara kadhaa.

Kwa hospital za private ni Global, Tawakkal, Alrahma ndio wengi sana wanatumia lkn kwa garama ni nafuu Alrahma kulko Global na Tawakkal lakini yeye kwa bima yake hawez kutumia kote huko mpaka kwa
Rufaa ndio wanampokea na hata hivyo bado Zanzbar haina hospital yenye garama kubwa kabisaaaa haijaifkia Agakhan nafkir hata kwa cash Global nayo sio kubwa kwa raia wa kati anaweza ku afford akishikika na ikiwa haendi kila siku
 
Tafuta hela unafikiri diamond hatibiwi pale ulipofukuzwa?
Hiyo si hoja, Mbona askofu Tutu aliishi kwenye makazi ya wazungu tu, hata hivyo haikuwafanya wazungu wasionekane wabaguzi.
Jiulize wahindi wote wanatibiwa wapi, Mwananyamala, Magomeni, Ilala au Temeke? Hatuwaoni huko.
 
Unaona sasa,mbunge ukute ana taarifa ya huyo mhitaji,badala atumie utu,awasiliane hata na wadau wake au afanye harambee,amuokoe muhitaji,kamyuti tu.Siasa bhana.Wenzake akina Bashe,wanajitahidi sana kuwasaidia wahitaji,jimboni kwao,sijui hao akina Mshali hawaoni?
Mungu atamsaidia huyo mgonjwa,atapata msaada stahki.
Hakuna cha Bashe wala nani? Kwani Bashe hawezi kumsaidia mtu ambaye yupo Dar? wote ni watanzania
 
Inategemea na aina ya dawa na matibabu wanayotoa dawa zinatofautiana pia na aina ya huduma narudia tena mimi ni muafrika sina NHIF na sijawahi kutibiwa agakhan lkn watoto wa dada yangu nawaplka agakhan kutibiwa wana bima za TCRA na wanatibiwa na mimi ndio nawapeleka na hatujawahi kufanyiwa vitendo vyovyote vya kibaguzi nafkir kwako ni bima haijakidhi vigezo kutibiwa hapo ipo na category zake kuna dada yangu mwengne nilimplkea form zake za NHIF ya binafsi tu wakati nachkua nikaambiwa hawez kutibiwa Global,Alrahma wala Tawakkal ( hizi ndio hospital kubwa kwa Zanzbar) so hii hawez kwenda nayo Agakhan
Ninachosema, si kwamba siwezi kutibiwa Aga Khan bado ninatibiwa, ila kwanini waweke ukuta, mbona Muhimbili wote tunaingia na kila mtu anatibiwa kwabuwezo wake, lakini kwanini hao wshindi hawakanyagi kwenye hospitali zao za uswazi? Wanaogopa nini? Huko wahudumu wote ni waswahili. Nina taka jibu la hili.
 
Cannula za buku buku nazo mnataka mgombanie?
Usiidharau buku madam,we unaona bukubuku ndogo,mwingine ni kwake ni kubwa,hasa ukizingatia yupo kuuguza.Kama vile ambavyo wewe unaona milioni ni kubwa,kuna mdau anaona ni hela ndogo,ila haidharau.Najua mazingira ya hospitali kwa mwenye kipato kidogo.
 
Inategemea na aina ya dawa na matibabu wanayotoa dawa zinatofautiana pia na aina ya huduma narudia tena mimi ni muafrika sina NHIF na sijawahi kutibiwa agakhan lkn watoto wa dada yangu nawaplka agakhan kutibiwa wana bima za TCRA na wanatibiwa na mimi ndio nawapeleka na hatujawahi kufanyiwa vitendo vyovyote vya kibaguzi nafkir kwako ni bima haijakidhi vigezo kutibiwa hapo ipo na category zake kuna dada yangu mwengne nilimplkea form zake za NHIF ya binafsi tu wakati nachkua nikaambiwa hawez kutibiwa Global,Alrahma wala Tawakkal ( hizi ndio hospital kubwa kwa Zanzbar) so hii hawez kwenda nayo Agakhan
Jibu swali, kwanini wahindi wafungua hosipitali uswazi zinazohudumiwa na waswahili kwa ajili ya kuwatibu waswahili, hizo dawa zinanunuliwa na hosipitali hiyohiyo ya Aga Khan, wahindi hafiki kutoa huduma huko.
 
Kuhusu ubaguzi ilo nakataa Aga khan ..Huduma zinazotolewa pale sijawai kuziona apa tanzania that why wazungu wachina na wegine wengine ndio chimbo Lao kuna huduma first class yani unaweza tamani usipewe discharge..
 
Back
Top Bottom