Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Wakuu Kwa hizi porojo za meneja hapa kwetu ukoloni Kila siku ni porojo tuendelee kumkubali na kumuamini??
Hizi ni baadhi ya porojo zake "Simba ni timu ya maajabu tutakwenda kumkanda Al ahly kule kule kwao ....sisi kwenda nusu fainali ni lazima""
Leo Baada ya kichapo kurudi bongo "Kufuzu nusu fainali ni lazima uwe na watu kweli kweli wakukupeleka nusu fainali" - @ahmedally_ .......Je alivyokuwa anatuahidi hakujua kuwa ana kikosi Cha mtumba?
Nb: baadaye akija kuwaaminisha kuwa Simba atamfunga & ata draw na Yanga .....mzomeeni coz atakuwa snawatania