Je! Ahmed Ally aendelee kuaminiwa pale msimbazi?

Wadau na wapenzi wa simba sport club naomba tuungane, katika kampeni hii ya kumshinikiza mo na kampuni yao ya METL kuondoka Simba, ili kupisha wawekezaji wengine.

Ni ukweli usiopingika kwamba uwekezaji wa mo na kampuni yao ya metl katika club yetu pendwa simba sport club hauna tija, hauna faida kwa simba na pia haueleweki
Tunahitaji kuwa wawekezaji wengi, ili

1. Kuwa na mtaji mkubwa,
2. Kuleta uwazi na uwajibikaji katika uendeshaji wa timu kwa sababu viongozi hawatakuwa vibaraka mwekezaji

Tunataka wawekezaji watakao weka hela mezani na sio kwenda kununua bond bot halafu ile fida ndio uilete kuendeshea timu, huu ni uwekezaji ambao hauna tija.

Muwekezaji akitumia brand ya simba kwenye bidhaa zake anatakiwa kulipia, na ashindanishwe na makampuni mengine, kama akikosa basi.

Nawasilisha

Kwa hiyo mo ndio anatakiwa kuondoka sio ahmed ally
 
Ndo mwenye timu huyo
 
Mkuu ile ni Timu ya Familia ya Dewji..Mo yuko pale kuhakikisha alichopoteza Baba ake Mzee Ghulam ,Baba ake Mdg Azim Dewji ...yeye Mo anakirudisha na kukimiliki ..kumtoa Mo na Metl hapo Simba kwa sasa kazi ni ngumu..tuvumilie tu
 
Back
Top Bottom