Je! Ahmed Ally aendelee kuaminiwa pale msimbazi?

Ila Ahmed Ally huwa namuona kama comedian flan hivi akiongea.
 
Mie nilijua unaleta update za kesi yenu ya kunyimwa goli. Kama hujui kazi ya msemaji unaweza kupiga kimya ukitaka aseme Simba inasindikiza?. Sie tunasubiri nusu fainali isimamishwe Kwa ajili yenu wewe unaleta habari ya MTU anaefanya kazi yake😄😄 PR.
 
Tatizo mnapenda porojo na maneno mengi ndio maana bado hata Ahmed Ally hajapatosha. Nikiambiwa nitaje mabadiliko yafanyike Simba ili kuwa timu imara, msemaji hata namba tano hayupo
Ngoja tuone mwisho wa msimu
 
Aaah we acha tu! Ila sidhani kama amemzidi Manara wakati akiwa Simba kuongea mambo makubwa juu ya Simba Likuuubwa alilotuaminisha
Sema lakini kipindi kile Simba ilikuwa inatisha ....sema tu figisu zilikuwa nyingi kimataifa
 
Maamuzi bado mkuu..... but nashangaa kwnn Mr kispika anawaburuza[emoji22]
 
Kwa Yanga simba hawezi chomoka,technically yanga anawacezaji Wazuri wengi and wenye uchu wa mafanikio kuliko Simba.
Kingine kuna wachezaji simba unaona kabisa wamechoka lkn kl Kukicha wanaanza mfano Saidoo,Inonga,Kapombe unaona kabisa wamechoka but can perform the same na wao?,mwazo kocha wa simba alikua anafanya rotation sasa hivi anaanza na wazee wenzake wkt kuna madogo km Chasambi they can give him more energy and results
 
Nyie mnaomsikiliza Ndiyo mnamatatizo Hugo no comedian yaani mchekeshaji pia anatumia akili mnembo
 
Jamaa kazi anaiweza maana yanga imeajiri wasemaji watatu na wote anawatoa knockout
 
Sahihi mkuu ...kapombe alikuwa uchochoro Kwa Al ahly [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…