Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Katibu Mwenezi, Bwana Makonda anafanya ziara huku na kule na kusikiliza kero za wananchi (sijui ni wana-CCM tu au la) na kuwa-task watendaji wa serikali ya CCM na watu kumshangilia.
Ingawaje sijui kama analofanya ni sehemu ya job description ya kazi aliopewa. Swali, kwa mendo huu sio anainyongonyeza CCM bila kujua? Kwa nini mimi niipigie kura wakati kero nyingi hazijafanyiwa kazi? Au linakuja lile Neno kwenye Bibilia kuwa 'utawala unaopingana wenyewe uanguka'?