Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Muhalifu akiwa katika maigizo. Kichekesho ni pale ikifika wakati wa uchaguzi vyombo vya Dola na tume isiyo huru ya uchaguzi zinageuka mbeleko ya chama!yuko vizuri sana,
yeye ni jicho la Chama serikalini au unaweza ukasema ndie mwenye tochi kuangaza au kuimulika Serikali kwa niaba ya chama, na ndie mwenyekiti wa maandalizi na msimamizi wa utekelezaji wa ilani ya CCM...
Chongolo ni mtendaji mkuu na jicho la Chama ndani ya chama na wanachama wote. Kuhakikisha ndani ya chama kuko imara, kuko shwari na kunaimarika zaidi na kuinjoy ongezeko kubwa la wanachama wapya.
Mwenyekiti Taifa na viongozi wengine wote serikalini ni macho na maskio ya wananchi. Licha ya kutekeleza ilani wanafaa kutatua matatizo mengine ya wananchi kwasabb wao ndio wenye uwezo, dhamana na fedha za kufanya hivyo.
Na katika utekelezaji wa majukumu yao, their checkmate kutoka kwenye chama ni Muenezi ambaae ni mwenyekiti wa maandalizi ya ilani na msimamizi wa utekelezaji wa ilani yenyewe.....
So,
The gentleman is on the very right track, aendelee anafanya kazi muzuri sana....