Hahaaa Mbowe mwenyewe ni zero brain yaan empty head lkn anaongoza nyumbuKatika zunguka zake Nivema Makonda akajibu baadhi ya malalamiko juu yake kama vile Nikwanini anatumia jina la Poul Makonda wakati jina lake halisi ni Albert Bashite na nikwanini alivamia kituo cha tv cha claus, ilapia kwanini anaonekana kama mtu mhuni, mhalifu na mtovu wa nidhamu, ikumbukwe aliwahi kumvamia na kumshambulia alie wahi kua Wazili mkuu wa Tanzania Joseph Sinde Walioba.
Chuki binafsiKatika zunguka zake Nivema Makonda akajibu baadhi ya malalamiko juu yake kama vile Nikwanini anatumia jina la Poul Makonda wakati jina lake halisi ni Albert Bashite na nikwanini alivamia kituo cha tv cha claus, ilapia kwanini anaonekana kama mtu mhuni, mhalifu na mtovu wa nidhamu, ikumbukwe aliwahi kumvamia na kumshambulia alie wahi kua Wazili mkuu wa Tanzania Joseph Sinde Walioba.
CCM ndo wenye wajibu na haki wa kusema kama wanabanwa pumzi au wanaachiwa pumziKatibu Mwenezi, Bwana Makonda anafanya ziara huku na kule na kusikiliza kero za wananchi (sijui ni wana-CCM tu au la) na kuwa-task watendaji wa serikali ya CCM na watu kumshangilia.
Ingawaje sijui kama analofanya ni sehemu ya job description ya kazi aliopewa. Swali, kwa mendo huu sio anainyongonyeza CCM bila kujua? Kwa nini mimi niipigie kura wakati kero nyingi hazijafanyiwa kazi? Au linakuja lile Neno kwenye Bibilia kuwa 'utawala unaopingana wenyewe uanguka'?
Leo anaingia hapa Simiyu,njoo umuulize ana kwa anaKatika zunguka zake Nivema Makonda akajibu baadhi ya malalamiko juu yake kama vile Nikwanini anatumia jina la Poul Makonda wakati jina lake halisi ni Albert Bashite na nikwanini alivamia kituo cha tv cha claus, ilapia kwanini anaonekana kama mtu mhuni, mhalifu na mtovu wa nidhamu, ikumbukwe aliwahi kumvamia na kumshambulia alie wahi kua Wazili mkuu wa Tanzania Joseph Sinde Walioba.
Makonda hazunguki nchini kujisemea yeye, bali anakisemea chama. Kama wewe una shida na makosa yake, wasiliana na Wakili Madeleka na Wakili Mwambukusi wampeleke mahakamani (Ila sina hakika kama wataweza kama wameshindwa maandamano)! Ahahahahaha!!!Katika zunguka zake Nivema Makonda akajibu baadhi ya malalamiko juu yake kama vile Nikwanini anatumia jina la Poul Makonda wakati jina lake halisi ni Albert Bashite na nikwanini alivamia kituo cha tv cha claus, ilapia kwanini anaonekana kama mtu mhuni, mhalifu na mtovu wa nidhamu, ikumbukwe aliwahi kumvamia na kumshambulia alie wahi kua Wazili mkuu wa Tanzania Joseph Sinde Walioba.
Sasa kama hujui umeleta thread ya nini sasa.Ingawaje sijui kama analofanya ni sehemu ya job description ya kazi aliopewa.
Nyumbu umekaririshwa na DJ hadi aibu. Kama unaushahidi mpeleke mahakamani bwege kabisaKatika zunguka zake Nivema Makonda akajibu baadhi ya malalamiko juu yake kama vile Nikwanini anatumia jina la Poul Makonda wakati jina lake halisi ni Albert Bashite na nikwanini alivamia kituo cha tv cha claus, ilapia kwanini anaonekana kama mtu mhuni, mhalifu na mtovu wa nidhamu, ikumbukwe aliwahi kumvamia na kumshambulia alie wahi kua Wazili mkuu wa Tanzania Joseph Sinde Walioba.
Unaumia ukiwa pande zipi za nchi kamanda?Katika zunguka zake Nivema Makonda akajibu baadhi ya malalamiko juu yake kama vile Nikwanini anatumia jina la Poul Makonda wakati jina lake halisi ni Albert Bashite na nikwanini alivamia kituo cha tv cha claus, ilapia kwanini anaonekana kama mtu mhuni, mhalifu na mtovu wa nidhamu, ikumbukwe aliwahi kumvamia na kumshambulia alie wahi kua Wazili mkuu wa Tanzania Joseph Sinde Walioba.
Hili tumeshauri Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!Katibu Mwenezi, Bwana Makonda anafanya ziara huku na kule na kusikiliza kero za wananchi (sijui ni wana-CCM tu au la) na kuwa-task watendaji wa serikali ya CCM na watu kumshangilia.
yuko vizuri sana,Katibu Mwenezi, Bwana Makonda anafanya ziara huku na kule na kusikiliza kero za wananchi (sijui ni wana-CCM tu au la) na kuwa-task watendaji wa serikali ya CCM na watu kumshangilia.
Ingawaje sijui kama analofanya ni sehemu ya job description ya kazi aliopewa. Swali, kwa mendo huu sio anainyongonyeza CCM bila kujua? Kwa nini mimi niipigie kura wakati kero nyingi hazijafanyiwa kazi? Au linakuja lile Neno kwenye Bibilia kuwa 'utawala unaopingana wenyewe uanguka'?
Hili swali unaliuza jf, kuna watu wameshanunuliwa kwa kazi ya kutukana sidhani kama utapata majibu. Makonda anafanya kazi hasiyopaswa kuifanya. Kazi yake ni kueneza sera za chama na si kusimamia utendaji wa serikali. Kwa wale walioshikiliwa akili wataona anaupiga mwingi.Katibu Mwenezi, Bwana Makonda anafanya ziara huku na kule na kusikiliza kero za wananchi (sijui ni wana-CCM tu au la) na kuwa-task watendaji wa serikali ya CCM na watu kumshangilia.
Ingawaje sijui kama analofanya ni sehemu ya job description ya kazi aliopewa. Swali, kwa mendo huu sio anainyongonyeza CCM bila kujua? Kwa nini mimi niipigie kura wakati kero nyingi hazijafanyiwa kazi? Au linakuja lile Neno kwenye Bibilia kuwa 'utawala unaopingana wenyewe uanguka'?
Of which itatusaidia nini? MzeeKatika zunguka zake Nivema Makonda akajibu baadhi ya malalamiko juu yake kama vile Nikwanini anatumia jina la Poul Makonda wakati jina lake halisi ni Albert Bashite na nikwanini alivamia kituo cha tv cha claus, ilapia kwanini anaonekana kama mtu mhuni, mhalifu na mtovu wa nidhamu, ikumbukwe aliwahi kumvamia na kumshambulia alie wahi kua Wazili mkuu wa Tanzania Joseph Sinde Walioba.
Muhalifu kapata platform ya kujisafisha. Na kwakuwa ccm ni chama Cha wahalifu, sio ajabu muhalifu akitumia nafasi hiyo.Makonda hazunguki nchini kujisemea yeye, bali anakisemea chama. Kama wewe una shida na makosa yake, wasiliana na Wakili Madeleka na Wakili Mwambukusi wampeleke mahakamani (Ila sina hakika kama wataweza kama wameshindwa maandamano)! Ahahahahaha!!!