Je, akili au ufahamu (consciousness) wa binadamu unatoka wapi ndani ya mwili?

Je, akili au ufahamu (consciousness) wa binadamu unatoka wapi ndani ya mwili?

Nafikiri ufahamu na akili ni vitu viwili tofauti

Alafu kwa nini wadada wenye makebo makubwa wana ufahamu mdogo
517d410f30f57ea9d43bbe9c07095526.jpg
 
Kuna kitu kwenye sayansi kinaitwa the hard problem of consciousness, ni rahisi kuelezea jinsi macho yanavyoona picha na kupeleka taarifa kwenye ubongo. Lakini swali gumu ni hili hiyo picha huwa inabadilikaje na kuwa hisia ndani yako?

Kwa mfano, unawezaje kuhisi uzuri wa rangi nyekundu au ladha ya kitu fulani badala ya kuwa tu kama kompyuta inayosoma data? Ubongo ni material object, lakini ufahamu ni subjective experience. Hakuna daktari au mwanasayansi anayejua jinsi gani matter huwa inageuka kuwa mawazo.
 
Ni uhalisia kulingana na binadamu. Kilichosababisha binadamu wa kwanza kuwepo ndicho kilichoweka huo ufahamu. Mtoto anapozaliwa anakuwa na uhalisia wa wazazi wake. (Innare ideas)
but mtoto akizaliwa huwa hajui chochote wazazi ndio wanaanza kumfeed info mbalimbali swali ni jee huo ufahamu unatoka wapi ndani mwili?
 
but mtoto akizaliwa huwa hajui chochote wazazi ndio wanaanza kumfeed info mbalimbali swali ni jee huo ufahamu unatoka wapi ndani mwili?
There exists, supreme power somewhere that controls and regulates everything in the universe.

Hizo unknown who? What? Why? Where? When? How unazojiuliza bila kupata majibu; are regulated by that power!
 
ongezea nyama kidogo
 
Back
Top Bottom