Ni uhalisia kulingana na binadamu. Kilichosababisha binadamu wa kwanza kuwepo ndicho kilichoweka huo ufahamu. Mtoto anapozaliwa anakuwa na uhalisia wa wazazi wake. (Innare ideas)Niko hapa kujifunza Zaidi.
The root of consciousness isn't externalNi uhalisia kulingana na binadamu. Kilichosababisha binadamu wa kwanza kuwepo ndicho kilichoweka huo ufahamu. Mtoto anapozaliwa anakuwa na uhalisia wa wazazi wake. (Innare ideas)
Ukiweza kutuliza akili kwenye hayo makebo ndo kuwa na ufahamu mkubwa ila kama utaona maluweluwe ujue dish limeyumbaNafikiri ufahamu na akili ni vitu viwili tofauti
Alafu kwa nini wadada wenye makebo makubwa wana ufahamu mdogo
View attachment 3644262
but mtoto akizaliwa huwa hajui chochote wazazi ndio wanaanza kumfeed info mbalimbali swali ni jee huo ufahamu unatoka wapi ndani mwili?Ni uhalisia kulingana na binadamu. Kilichosababisha binadamu wa kwanza kuwepo ndicho kilichoweka huo ufahamu. Mtoto anapozaliwa anakuwa na uhalisia wa wazazi wake. (Innare ideas)
kidogo inaleta senseKuna sehemu niliona wanasema consciousness arise from the soul or mind, the non physical material in the body, na brain ni physical carrier ambayo inatumia electrical impulses arises from the brain stem to interpret it in physical, material world
Yes nimeiona mahali wameiandika nikaona ina make sensekidogo inaleta sense
Akili ni Upako na upako ni mafutaNafikiri ufahamu na akili ni vitu viwili tofauti
Alafu kwa nini wadada wenye makebo makubwa wana ufahamu mdogo
View attachment 3644262
There exists, supreme power somewhere that controls and regulates everything in the universe.but mtoto akizaliwa huwa hajui chochote wazazi ndio wanaanza kumfeed info mbalimbali swali ni jee huo ufahamu unatoka wapi ndani mwili?