Je, akili au ufahamu (consciousness) wa binadamu unatoka wapi ndani ya mwili?

Elimu ambayo wanaificha sana imasemaje🙂

Kinachowaza ndani yako ni wewe. Ni nafsi yako ingawa watu wanaita conciuosness.

Mwili ni nyumba tu ndani ya mwili kuna roho ambayo ndio wewe.

Mbali ya roho yako kuna roho nyingine ambazo ziko ndani ya mwili zinaitwa Spirits

Pia ndani ya mwili kuna nafsi ambazo zipo ndani yako ambazo ni Souls

Binafsi nachojua ni nini?
...... hata sijui nieleze vipi
 
Aisee
 
Makwapani, tunza sana makwapa yako, paka deodorant
Nilitaka nikomenti kihunihuni ila ulivyokomenti nimecheka sana.Mleta uzi anapenda kutuchosha tu.Hivi,ni lini iliwahi kuelezwa kwamba mtu hufikiria kwa kutumia miguu,mikono,tumbo,mgongo,shingo,magoti au nyayo?Aache usumbufu!
 
Wanasayansi ni watu wa ajabu, wanasema binadamu alitokana na muunganiko wa seli; lakini hizo seli hawajawahi weza kuzitengeneza/kuziunda ili binadamu atokee wala hawasemi nani alitengeneza hizo seli! 😊

Atheists (Non-believer) wanawafuata wanasanyansi kweli hilo. Lakini hawawezi kuthibitisha kutokuwepo kwa Mungu. 😊

Kuhusu mada: Na mimi nataka kufahamu akili/ufahamu unatoka wapi.
 
but mtoto akizaliwa huwa hajui chochote wazazi ndio wanaanza kumfeed info mbalimbali swali ni jee huo ufahamu unatoka wapi ndani mwili?
Kwenye ubongo kadri unavyokuwa, kukomaa, kupata na kuhifadhi taarifa.
 
AI,
The brain translates information by converting raw physical data from your senses into electrical and chemical signals. Billions of nerve cells called neurons pass these signals to specific areas of the brain. The brain then decodes these inputs, matches them with memories, and turns them into thoughts, feelings, or actions
 
Kuna haja ya kukujibu kama utaendelea kutumia hako Ka AI kunijibu?
 
Wanasayansi ni watu wa ajabu, wanasema binadamu alitokana na muunganiko wa seli; lakini hizo seli hawajawahi weza kuzitengeneza/kuziunda ili binadamu atokee wala hawasemi nani alitengeneza hizo seli! 😊
Wewe unasemaje / una maelezo gani / unafahamu vipi?
(sio unaamini nini)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…