King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Mademu wenye INYE kubwa hawana akili.Nafikiri ufahamu na akili ni vitu viwili tofauti
Alafu kwa nini wadada wenye makebo makubwa wana ufahamu mdogo
View attachment 3644262
Basi hupaswi kuwashangaa wanasayansi bali wanasayansi ndio wanaopaswa kuwashangaa wanaoamini tu bila maelezo yoyote.
Consciousness inatokana kwenye ubongo, jaribu kutumia dawa za kulevya au kunywa vodka mzinga mzima uone consciousness yako itakuaje.Siwezi kudhibitisha! Vipi upande wako, unaweza thibitisha ufahamu/akili ya sungura unatoka wapi?
Unamshaangaje angalau mwenye maelezo yenye ukomo wakati wewe huna hata maelezo kabisaπ?!Nawashangaa! Maana maelezo yao yana "Ukomo". Kuna sehemu wanafika na hawawezi kuendelea.
Consciousness inatokana kwenye ubongo, jaribu kutumia dawa za kulevya au kunywa vodka mzinga mzima uone consciousness yako itakuaje.
Unamshaangaje angalau mwenye maelezo yenye ukomo wakati wewe huna hata maelezo kabisaπ?!
Huo umeme na kemikali huwa unageukaje na kuwa subjective experience?Ndiyo, kama unayo majibu tofauti.
Neural subjective frameHuo umeme na kemikali huwa unageukaje na kuwa subjective experience?
Ni nini kinachofanya huo umeme wetu sisi uwe na ufahamu wakati umeme wa kompyuta hauna?
Haya maswali Ai hajayatolea majibu, naomba unijibu.
Hapa ni kama umetumia msamiati tofauti tu lakini bado haujatoa majibu ya maswali yangu.Neural subjective frame
Kwa sababu computer sio kiumbe hai na haina ubongo kama binadamu.Hapa ni kama umetumia msamiati tofauti tu lakini bado haujatoa majibu ya maswali yangu.
Huo umeme na kemikali huwa unageukaje na kuwa subjective experience?
Ni nini kinachofanya huo umeme wetu sisi uwe na ufahamu wakati umeme wa kompyuta hauna?
πKuna sehemu niliona wanasema consciousness arise from the soul or mind, the non physical material in the body, na brain ni physical carrier ambayo inatumia electrical impulses arises from the brain stem to interpret it in physical, material world
Unaongelea teknolojia ya zamani, hiviKwa sababu computer sio kiumbe hai na haina ubongo kama binadamu.
Vilevile Kwa mtazamo wa sayansi, ufahamu (consciousness) unahusishwa kwa karibu sana na ubongo. Hakuna sehemu moja maalumu ya ubongo inayozalisha ufahamu; badala yake, unaonekana kutokea kutokana na jinsi mabilioni ya seli za neva (neurons) zinavyowasiliana katika maeneo mbalimbali ya ubongo. Ubongo ukiharibika au ukiathiriwa na dawa, usingizi, au ganzi, kiwango cha ufahamu hubadilika, jambo linaloonyesha uhusiano mkubwa kati ya ubongo na ufahamu.Wanasayansi ni watu wa ajabu, wanasema binadamu alitokana na muunganiko wa seli; lakini hizo seli hawajawahi weza kuzitengeneza/kuziunda ili binadamu atokee wala hawasemi nani alitengeneza hizo seli! π
Atheists (Non-believer) wanawafuata wanasanyansi kweli hilo. Lakini hawawezi kuthibitisha kutokuwepo kwa Mungu. π
Kuhusu mada: Na mimi nataka kufahamu akili/ufahamu unatoka wapi.
Vilevile Kwa mtazamo wa sayansi, ufahamu (consciousness) unahusishwa kwa karibu sana na ubongo. Hakuna sehemu moja maalumu ya ubongo inayozalisha ufahamu; badala yake, unaonekana kutokea kutokana na jinsi mabilioni ya seli za neva (neurons) zinavyowasiliana katika maeneo mbalimbali ya ubongo. Ubongo ukiharibika au ukiathiriwa na dawa, usingizi, au ganzi, kiwango cha ufahamu hubadilika, jambo linaloonyesha uhusiano mkubwa kati ya ubongo na ufahamu.
Hata hivyo, sayansi bado haijaeleza kikamilifu kwa nini shughuli za ubongo huzaa uzoefu wa ndani wa kuwa na hisia, mawazo na kujitambua. Hili ndilo linaloitwa mara nyingi "hard problem of consciousness".
Kuhusu zilitoka wapi, wakati mtoto anapokuwa tumboni, mwanzoni kuna yai lililorutubishwa (zygote). Seli hiyo moja hugawanyika mara nyingi. Baadhi ya seli hizo hubadilika na kuwa seli za neva kupitia mchakato unaoitwa utofautishaji wa seli (cell differentiation). Hivyo, karibu neuroni zote za ubongo hutokana na seli za awali za kiinitete, si kwamba huingia kutoka nje ya mwili.Hizo seli za neva "neurons" zimeundwa na nini? Zilitoka wapi hizo seli za neva?
Kuhusu zilitoka wapi, wakati mtoto anapokuwa tumboni, mwanzoni kuna yai lililorutubishwa (zygote). Seli hiyo moja hugawanyika mara nyingi. Baadhi ya seli hizo hubadilika na kuwa seli za neva kupitia mchakato unaoitwa utofautishaji wa seli (cell differentiation). Hivyo, karibu neuroni zote za ubongo hutokana na seli za awali za kiinitete, si kwamba huingia kutoka nje ya mwili.
Hata AI haina majibu mkuuBado hujaeleza seli zinatoka wapi mkuu!
Tueleze seli hizo zinatokea vipi! Maana kwa mujibu wa sayansi hilo yai ni seli.
Omba msaada wa AI ukiweza mkuu.
Hata AI haina majibu mkuu