akili inaweza kuudhibiti na kuuathiri moyo kwa kiasi kikubwa sana. Uhusiano huu unaratibiwa na mfumo wa neva na homoni mbalimbali mwilini.Moyo unasukuma damu , moyo hauwezi kuyataka , vyote unavyozungumzia bado vinatoka kwenye ubongo tu
Kwamba moyo unasema natakaakili inaweza kuudhibiti na kuuathiri moyo kwa kiasi kikubwa sana. Uhusiano huu unaratibiwa na mfumo wa neva na homoni mbalimbali mwilini.
Watu wengi hudhani moyo hua una feel au ndio wenye maamuzi kama vile kupenda! hakuna kitu kama hicho,kila kitu kinaanzia kwenye Brain,Kwamba moyo unasema nataka
Labda lile kopa la emoj ya moyo ndio lina hadaa umma bwashee 🤔Watu wengi hudhani moyo hua una feel au ndio wenye maamuzi kama vile kupenda! hakuna kitu kama hicho,kila kitu kinaanzia kwenye Brain,
Eti utasikia Moyo wangu umekupenda,
Toka lini moyo ukawa na hisia ya kupenda!
Kwahiyo hapa Moyo unabishana/unashindana na Human brain katika kufanya maamuzi sio?Kama akili inajua jambo ni baya lakini moyo bado unalitaka, nani anapaswa kushinda?
👉 Moyo unasema ''Nataka''
au
👉 Akili inasema ''Usifanye utajuta''
Na je, kujizuia kufanya jambo unalolitamani ni udhaifu wa moyo—au ni nguvu ya akili?
Kwanini ukiachwa moyo ndiyo unaomuia moyo ndiyo unaovunjikavunjikaInaonekana hujui kazi ya moyo,
hakuna uhusiano wowote kati ya moyo na akili/Brain katika maamuzi ya Binadamu,
Moyo ni Pump inayo sukuma damu through your body,
Kazi ya kufikiri,memory,movement feeling na automatic action kama kupumua na mapigo ya moyo hufanywa na part of the brain inayoitwa Celebrum,
Huo moyo wenyewe unafanya kazi kwa maamuzi ya brain kwa kupokea tiny electrical and chemical signal kwa kupitia kwenye nerves kutoka kwenye brain,hata mapigo ya huo moyo hupata amri kutoka kwenye brain ''Celebrum''
"Ubongo wangu umekupenda"🤣🤣🤣🤣Watu wengi hudhani moyo hua una feel au ndio wenye maamuzi kama vile kupenda! hakuna kitu kama hicho,kila kitu kinaanzia kwenye Brain,
Eti utasikia Moyo wangu umekupenda,
Toka lini moyo ukawa na hisia ya kupenda!
Moyo hausukumi damu kumbe🤣"Ubongo wangu umekupenda"🤣🤣🤣🤣
Nadhani Neno "moyo" hutumika kuelezea "Nia" au "Dhamiri" ya mtu na sio kiungo cha mwili kinachosukuma damu!.
Haya mambo haya🤣🤣Moyo hausukumi damu kumbe🤣
Andika tena hujaeleweka.Kwanini ukiachwa moyo ndiyo unaomuia moyo ndiyo unaovunjikavunjika
Walio andika vitabu vya dini hawakua na uelewa wa mambo , ubongo ndio unafanya maamuzi, ni vile tu kwa lugha ya kijamii moyo humaanisha hisia.mnachokosea ni kwamba hamjui ya kuwa moyo ndipo panapo beba hisia na uhai kwenye vitabu vya dini inasema linda sana moyo wako ndipo chemchem ya uhai ilipo
Mit 4:23
Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima
Bwashee, wewe ni msomi acha hizoHata dhambi huanzia moyoni ndiyo maana tunaambiwa kutamani mwanamke tayari uneshazini kunbe ulianza moyo kupenda akili ufuata kuweka mipango ya kutimiza haja
Mkuu kinachomaanishwa hapo ni "Nia" au "Dhamiri" sio moyo unaosukuma damu!.mnachokosea ni kwamba hamjui ya kuwa moyo ndipo panapo beba hisia na uhai kwenye vitabu vya dini inasema linda sana moyo wako ndipo chemchem ya uhai ilipo
Mit 4:23
Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima
Hii ni issue ya kisayansi sio issue ya kidini,mnachokosea ni kwamba hamjui ya kuwa moyo ndipo panapo beba hisia na uhai kwenye vitabu vya dini inasema linda sana moyo wako ndipo chemchem ya uhai ilipo
Mit 4:23
Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima