Tofautisheni kejeli na kuigiza, huyo amekejeli dini ya watu, sema wa kristo huwa tunakuwaga na mazoea ya ajab ajab kwenye dini yetu, wakati wenzetu waislam jaribu hata kuwa tania kidogo kuhusu dini yao uone, na kwa hilo nawapongeza, we must respect our entity tuache jokes na Yesu Kristo hebu tujifunze kwa wenzetu kuheshim tunacho kiamini.
Omondi alikosea sana
Huyo Baraka ni kichwa maji kama walivyo mamilioni ya watanzania. Muweni mnasoma basi kabla hamjaropoka chuki.HABARINI! TOKA jana kwenye mitandao ya kijamii Mchekeshaji Erick Omond amejiwa juu na baadhi ya watu kwa kile Alicho Fanya na kuleta mvutano mkubwa sana katika Imani!
Mimi ni mkristo,Lakini sijaona Kosa kwa kile Alichokifanya Erick Omondi! kabla ya Kuja kumuhukumu Erick Omond .....Tujiulize Je Erick Omond ni nani na anafanya nini? ERICK ni Mchekeshaji na anafikisha ujumbe kwa njia ya kuchekesha na kuimba!
Sasa kile alichokifanya ni moja ya uigizaji wake na Lengo lake ni kufikisha ujumbe! Jumbe ulifika tatizo liko wapi? Tujiulize Je mtu akiigiza kama Rais ni kweli anakuwa Rais? au mtu akiigiza Ana maambukizi je kweli anakuwa mayo?
Moja ya watu walio Kuja juu ni baraka De prince Lakini mm sioni kama ni sawa kumuhukumu Eric kwa Alicho fanya
Sasa Tujiulize wote Je Alicho Fanya Eric ni Sahihi? Kwangu mimi yupo sahihi
Mzee bahati mbaya sijaishika sana biblia. Nilikuwa naisoma niingiapo katika kipindi dini. Na nilikuwa naingia kwa sababu maalum. Utanisamehe sana. Nilichokiona kwa Bwana Erick ndicho nilichofkiri, kumbe yeye alimaanisha mengine.Ndugu, umesahau kuwa Yesu alisulubiwa pamoja na watu wawili.. Yule wa mkono wa kuume ndio huyo Omondi amemuigiza..
Pitieni vizuri biblia zenu kabla ya kumlaumu Omondi..
Dhana ya kusulubiwa haikuwa kwa yesu pekee..
Omondi amemaanisha yule mwizi wa mkono wa kuume wa Yesu aliyenena maneno ya hekima kwa yesu na akasamehewa kabla yesu hajakata roho..
Mkuu wangu,zisingekuwepo kelele kama asingeweka kibao chenye hayo maandishi tunayoyasoma hapo!“MWIZI FORGIVEN"...nani sasa!Kristo Yesu au nani?angeweza kufanya hivyo kama angewaweka wengine wawili mmoja wao akamuwekea hiko kibao ingeleta maana ya Kibiblia zaidi sio ujinga huu.hawa comedian wanatafuta ubunifu kwa vitu wasivyokuwa na ufahamu navyo ingekuwa upande wa pili wangeondoka na kichwa chake na nashangaa kusikia kwamba huyu mtu ni mkristo.Hata kanisani kuna maigizo ya YESU. Pale Azania Front Cathedral kina Jeremiah Mwakipesile wanaigiza kila mwaka
Tatizo lipo hapo kwenye hiko kibao yeyote anaweza'fanya hivyo hata wewe unaweza ila hayo maandishi hapo yanakwaza...anamzungumzia nani wakristo tunajua aliyesulubiwa hivyo ni Yesu Kristo na hakuwekewa maandishi yenye maana hiyo huyo hayo kayatoa wapi au kayaweka kama nani?Kwahiyo hawa hapa wako sahihi ...........???
Watu hili hawalioni sijui kwanini!tatizo ni haya maandishi tusijifanye vipofu.Kosa.kwenye huo ujumbe hapo juu.mwizi forgiven
Bonge moja la point mkuu!sisi ngoz nyeusi majungu sana....ok kama alichokifanya ni kosa kwann makanisan mkesha wa pasaka huwa wanaigiza kanisan!!!,Sijaona tatizo lolote..mbona Brian Deacon alipoigiza movie ya yesu hakuna aliyelalamika? au kwakuwa ni mzungu?
Kafanya kosa gani? kwani pale msalabani hakukuwa na mwizi? wagalatia mbona mnapoteza kumbu kumbu?Mungu wetu anajipigania mwenyewe, huyu jamaa asipoomba toba kwa kitendo hiki, yatakayomsibu asilie na mtu.
Hivi pale hakukuwa na mwizi aliye samehewa?Sasa hapo tatizo lipo wapiii mbona watu huigiza sana tu ,,mnajifanya kuzijua diniii
Alikuwepo tenaaaaaaHivi pale hakukuwa na mwizi aliye samehewa?
Kejeli hapo ikoje Mkuu... Hyo ni kazi ya sanaa.. Tupe uchambuzi wa kuthibitsha kuwa hyo ni Kejeli..Tofautisheni kejeli na kuigiza, huyo amekejeli dini ya watu, sema wa kristo huwa tunakuwaga na mazoea ya ajab ajab kwenye dini yetu, wakati wenzetu waislam jaribu hata kuwa tania kidogo kuhusu dini yao uone, na kwa hilo nawapongeza, we must respect our entity tuache jokes na Yesu Kristo hebu tujifunze kwa wenzetu kuheshim tunacho kiamini.
Omondi alikosea sana
dini hawaijui kabisa sijui tupojee naKumbuka kwenye biblia Yesu alivyokuwa akihukumiwa alihukumiwa na wale wezi wawili pale msaLabani kuna mwizi mmoja alimdhihaki Yesu kwa kumwambia ajiokoe na awaokoe na wao kama ni Mungu kweli then yule mwizi mwingine akamwambia Yesu amkumbuke kwenye ufalme wake na Yesu akamjibu umesamehewa dhambi zako na jioni hii tutakuwa wote kwa baba,sasa mijitu isiyosoma bibliA WALA KWENDA KANISANI MIPOVU KIBAOOOOSasa hapo tatizo lipo wapiii mbona watu huigiza sana tu ,,mnajifanya kuzijua diniii