Je Alicho Fanya Eric Omondi Ni sahihi?

Na Brian Decon je?
 
"Mwizi Forgiven" ndo kosa lilipo maana yanaleta tafsiri mbaya ukilinganisha na kilichafanya Yesu afanyiwe vile
 
Aigize Mtume au chochote chenye asili ya dini ya Kiislam Wallahi waisalm watamkata kichwa LIVE! Tuache kejeli na dini za watu
 
Hebu act yenye kiashiria ya dini ya Kiislamu uone utakavyokatwa kichwa LIVE.
Acheni kashfa za kidini. Fala wewe
 
Sasa kosa lake nini hapo ? Ila hizi picha za Brian Decon ambaye wengi wanajua ndie Yesu zinazowekwa ndani ni sawa kabisa au picha zake alizochorwa akiwa msalabani ?

Tuna safari ndefu sana Waafrika
 
Sijaona tatizo lolote..mbona Brian Deacon alipoigiza movie ya yesu hakuna aliyelalamika? au kwakuwa ni mzungu?
Wengi hawalijui hilo mi nimekuja jua jamaa si Yesu ukubwani nadhani hata hata wewe, we angalia hata picha za Yesu na mama yake kwenye sebure za wakristo ni huyu mwingereza anatumika
 
<<<< WAKATOLIKI [wakristo]ni WATU ''WASTAARABU saana UNGEKUWA mlengo WA kushoto Daah! UNGESIKIA KITU >>wallah tena !hii inatokana na kuwa na elimu mapema mnoo in old stone age
 
Word..
Hata ukihudhuria ibada za krismasi makanisani huwa wanaigiza yesu kubeba msalaba na kusubiriwa..

Alafu watu hawajamuelewa omondi alichomaanisha!
Siyo krismasi, ni ibada ya ijumaa kuu kabla ya pasaka!
 
Waigizaji na wachekeshaji wa EA ni makanjanja sana! Including huyu omondi na nk
 
Hizi dini tulizodandia zitatutesa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…