upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Nas-Hate me Now
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Brian Decon je?Tofautisheni kejeli na kuigiza, huyo amekejeli dini ya watu, sema wa kristo huwa tunakuwaga na mazoea ya ajab ajab kwenye dini yetu, wakati wenzetu waislam jaribu hata kuwa tania kidogo kuhusu dini yao uone, na kwa hilo nawapongeza, we must respect our entity tuache jokes na Yesu Kristo hebu tujifunze kwa wenzetu kuheshim tunacho kiamini.
Omondi alikosea sana
Maudhui ndio matokeo ya kila kituKwahiyo hawa hapa wako sahihi ...........???
![]()
![]()
![]()
Aigize Mtume au chochote chenye asili ya dini ya Kiislam Wallahi waisalm watamkata kichwa LIVE! Tuache kejeli na dini za watuHABARINI! TOKA jana kwenye mitandao ya kijamii Mchekeshaji Erick Omond amejiwa juu na baadhi ya watu kwa kile Alicho Fanya na kuleta mvutano mkubwa sana katika Imani!
Mimi ni mkristo,Lakini sijaona Kosa kwa kile Alichokifanya Erick Omondi! kabla ya Kuja kumuhukumu Erick Omond .....Tujiulize Je Erick Omond ni nani na anafanya nini? ERICK ni Mchekeshaji na anafikisha ujumbe kwa njia ya kuchekesha na kuimba!
Sasa kile alichokifanya ni moja ya uigizaji wake na Lengo lake ni kufikisha ujumbe! Jumbe ulifika tatizo liko wapi? Tujiulize Je mtu akiigiza kama Rais ni kweli anakuwa Rais? au mtu akiigiza Ana maambukizi je kweli anakuwa mayo?
Moja ya watu walio Kuja juu ni baraka De prince Lakini mm sioni kama ni sawa kumuhukumu Eric kwa Alicho fanyaView attachment 442376
Sasa Tujiulize wote Je Alicho Fanya Eric ni Sahihi? Kwangu mimi yupo sahihi
Not only that hata uhai wake uko hatarini.e.g kupooza, cancer, nk. Time will tell.soon, anguko lake kwenye sanaa yake linafika
Hebu act yenye kiashiria ya dini ya Kiislamu uone utakavyokatwa kichwa LIVE.HABARINI! TOKA jana kwenye mitandao ya kijamii Mchekeshaji Erick Omond amejiwa juu na baadhi ya watu kwa kile Alicho Fanya na kuleta mvutano mkubwa sana katika Imani!
Mimi ni mkristo,Lakini sijaona Kosa kwa kile Alichokifanya Erick Omondi! kabla ya Kuja kumuhukumu Erick Omond .....Tujiulize Je Erick Omond ni nani na anafanya nini? ERICK ni Mchekeshaji na anafikisha ujumbe kwa njia ya kuchekesha na kuimba!
Sasa kile alichokifanya ni moja ya uigizaji wake na Lengo lake ni kufikisha ujumbe! Jumbe ulifika tatizo liko wapi? Tujiulize Je mtu akiigiza kama Rais ni kweli anakuwa Rais? au mtu akiigiza Ana maambukizi je kweli anakuwa mayo?
Moja ya watu walio Kuja juu ni baraka De prince Lakini mm sioni kama ni sawa kumuhukumu Eric kwa Alicho fanyaView attachment 442376
Sasa Tujiulize wote Je Alicho Fanya Eric ni Sahihi? Kwangu mimi yupo sahihi
Wengi hawalijui hilo mi nimekuja jua jamaa si Yesu ukubwani nadhani hata hata wewe, we angalia hata picha za Yesu na mama yake kwenye sebure za wakristo ni huyu mwingereza anatumikaSijaona tatizo lolote..mbona Brian Deacon alipoigiza movie ya yesu hakuna aliyelalamika? au kwakuwa ni mzungu?
Siyo krismasi, ni ibada ya ijumaa kuu kabla ya pasaka!Word..
Hata ukihudhuria ibada za krismasi makanisani huwa wanaigiza yesu kubeba msalaba na kusubiriwa..
Alafu watu hawajamuelewa omondi alichomaanisha!
Mwenyewe,akili ndogo km piriton,shwainWivu tu manina zenu, mwenzenu anaingiza pesa