Mkuu katika sheria ya kiislamu kuua imekatazwa labda iwe ni kwa haki, unaposema Hanniyeh ameuwa na amefurahi na kushabihisha kitendo hicho na uislamu unakosea sana japo Hanniyeh kwamba ni muislamu.
Ni vyema kujifunza ni kwanini Hanniyeh ameua na amefurahia, lakini usijaribu kuhusisha na dini yetu ya kiislam kwamba ndivyo ilivyotuamrisha, Hinniyerh sio mtume wala kiongozi wa waislam duniani, na yeye ni binadamu ana mapungufu yake huenda alivyofanya ni sahihi ama amekosea sana. Uislam ni dini sahihi na imekamilika, wala waislam hatumtazami hanniyeh kwamba ndio kioo chetu.
Lakini tunafahamu kwamba ndugu zetu waislam Palestine wanapitia kipindi kigumu sana na mayahudi (Israel) na hii ni history kubwa sana., Netanyahu hadi sasa ameshaua zaidi ya 46,000 binadamu kule Palestine
Nafkiri kwa muhtasari huu utakuwa umejifunza kitu.