Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisaidie kwani Oct 07,2023 kulikuwa na nini? Maana naona unaisema s
He ni weye uliyeandika hivi?Wale wala wasikuumize kichwa, waache wauane mpaka wenyewe watakaposema basi. Hapo kila mmoja atamuheshimu mwenzake
Fanya research mpaka muislam alipe kisasi au hata kuuwa ni baada ya vitibimbi na madhila makubwa ambayo wanafanyiwa na hata kuuliwa watu wao na kuumizwa, mfano mzuri ni Palestine wasilamu hawako huru ata kuingia katika nyumba zao za ibada misikitini wakizuiliwa, wakipigwa na kuuliwa na kubururwa ni mayahudi na wengine kuuliwa na wengi kuwekwa jela bila sababu yoyote, na hii ilifanyika pale palestine miaka nenda miaka rudi. Waislamu ni watu wazuri sana, sijawahi soma mahali popote muislam ameanzisha fujo ama kumuua mtu ni mpaka baada ya kupitia mateso kama hayo.Unajaribu kueleza kwa busara. Lakini ukweli uislam na waislam ni dini iliyo jaa uchungu, maumivu na visasi. Walio wengi wana mtazamo wa kwamba. Ukiwa muislam basi wewe ni mkamilifu. Lakini kumbe kuna idadi kubwa tu ya waislam wa hovyo. Tena ni wabaya kuliko makafiri. Lakini wengi hawalioni hilo, wanajificha kwenye asalam aleikum. mohmad rasul, alllahu kibar
Mkuu hiyo october 7, 2023 matatizo hayakuanzia hapo, Palestine walishachoka madhila na mauaji ya watu wao na watu wao wengi kuwekwa jela na kuzuiliwa kuingia katika nyumba zao za Ibada kwa makusudi, kina mama wakipigwa na kuburutwa na kuumizwa miaka nenda miaka rudi, ardhi yao ilipokwa na waisrael na hawakuwa na uhuru wowote na hata sasa, palestine ni nchi ambayo kwa makusudi wazungu wamezuia hata kumiliki jeshi lao wenyewe ni mambo mengi sana, wewe unajua tarehe 7 tu haitakusaidia kitu hii tarehe 7Acha Ujinga West Bank kuna mauaji gani?
Kwa hiyo wewe ndiyo wakunipa Lecture niangalie Aljazeera? Hao unaowaita wewe wapalestina unajua waliua wangapi Oct 07,2023? Au kwa akili ya kiduchu wao walikuwa wanaua mbuzi?
Watu wameuliwa wewe unasema hujali, najaribu kuvuta hisia ww ni binadamu wa aina ganiNilitarajia kupata majibu lakini sijapatq!!
Kwa Sasa anafaudu wale bikra 72 pamoja na mito ya pombe. 😂😂😭🤣Baada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 Gaidi ISMAIL HANNIYEH alionekana kwenye vyombo vya habari akifurahia mauaji hayo na kuonekana akiongoza sala kumshukuru Allah wake kwa kufanikisha mauaji ya kutisha yaliyofanyika siku hiyo Oct 07,2023. Mimi nauliza kwa mjibu wa dini ya kiislamu ni sawa kusherehekea mauaji ya watu namna hiyo?
View attachment 3252247
Kwa hiyo hutaki kuongelea uovu mlioufanya siku hiyo ya Oct 07,2023 kwa kisingizio cha kuwa haikuanzia Oct 07,2023. Kwa akili yako kiduchu unafikiri watu hawatajua au hawajui yaliyofanyika Oct 07,2023 ambapo watu 1,200 waliuwawa na 251 kutekwa nyara na mamia kubakwa na kuteswa na magaidi hao. Wapalestina walichokifanya ni unyama uliopitiliza na wameonyesha ulimwengi ni jinsi gani walivyo na Roho mbaya ya kikatili kupindukia.Mkuu hiyo october 7, 2023 matatizo hayakuanzia hapo, Palestine walishachoka madhila na mauaji ya watu wao na watu wao wengi kuwekwa jela na kuzuiliwa kuingia katika nyumba zao za Ibada kwa makusudi, kina mama wakipigwa na kuburutwa na kuumizwa miaka nenda miaka rudi, ardhi yao ilipokwa na waisrael na hawakuwa na uhuru wowote na hata sasa, palestine ni nchi ambayo kwa makusudi wazungu wamezuia hata kumiliki jeshi lao wenyewe ni mambo mengi sana, wewe unajua tarehe 7 tu haitakusaidia kitu hii tarehe 7
Hebu soma ulichoandika.Hapo ndiyo tunaposema UISLAM UNAHAMASISHA JINAI. Yaani wewe mwenyewe makaveli10 vuna uwezo wa kujua kwamba nani yuko katika mazingira ya kukuua wewe au la. Wee hujui mtu anaweza akakuchukia, akakupa jina baya halafu akakusingizia kwamba ulikuwa unamvizia na kumkimbiza ili umuue ndiyo akakuua? Wee huoni jamii ikijengwa katika mitazamo hiyo, patakuwa hapakaliki? Si ajabu ndiyo maana uarabuni ni mwendo wa kupeana kisago tu. Maana binadamu wana hisia nyingi. Anaweza akakuhisi tu kwamba wewe ni hatari, ikala kwako
Ni 61000 kiongozi....Mkuu katika sheria ya kiislamu kuua imekatazwa labda iwe ni kwa haki, unaposema Hanniyeh ameuwa na amefurahi na kushabihisha kitendo hicho na uislamu unakosea sana japo Hanniyeh kwamba ni muislamu.
Ni vyema kujifunza ni kwanini Hanniyeh ameua na amefurahia, lakini usijaribu kuhusisha na dini yetu ya kiislam kwamba ndivyo ilivyotuamrisha, Hinniyerh sio mtume wala kiongozi wa waislam duniani, na yeye ni binadamu ana mapungufu yake huenda alivyofanya ni sahihi ama amekosea sana. Uislam ni dini sahihi na imekamilika, wala waislam hatumtazami hanniyeh kwamba ndio kioo chetu.
Lakini tunafahamu kwamba ndugu zetu waislam Palestine wanapitia kipindi kigumu sana na mayahudi (Israel) na hii ni history kubwa sana., Netanyahu hadi sasa ameshaua zaidi ya 46,000 binadamu kule Palestine
Nafkiri kwa muhtasari huu utakuwa umejifunza kitu.