Hii dini fakeBaada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 Gaidi ISMAIL HANNIYEH alionekana kwenye vyombo vya habari akifurahia mauaji hayo na kuonekana akiongoza sala kumshukuru Allah wake kwa kufanikisha mauaji ya kutisha yaliyofanyika siku hiyo Oct 07,2023. Mimi nauliza kwa mjibu wa dini ya kiislamu ni sawa kusherehekea mauaji ya watu namna hiyo?
Dini gani sio fake ?Hii dini fake
Kwani wanachopigania wao ni dini au uhuru na utaifa wao ?Hayo ni magaidi yanajificha Kwenye dini
Na ndiyo sababu hata Allah ameshindwa kuwatetea kuanzia Haniyeh,Sinwar na hata Nasrallah
Hamas, Hezbollah, Houth, Ayatollah na Asad ..... Allah kawachinjia baharini
Zote fake, ila hii ya wavaa vipedo most of them ni vichaaDini gani sio fake ?
Ni sawa katika dini ya kikristo wewe kufurahia mauaji ya Wapalestina ?Baada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 Gaidi ISMAIL HANNIYEH alionekana kwenye vyombo vya habari akifurahia mauaji hayo na kuonekana akiongoza sala kumshukuru Allah wake kwa kufanikisha mauaji ya kutisha yaliyofanyika siku hiyo Oct 07,2023. Mimi nauliza kwa mjibu wa dini ya kiislamu ni sawa kusherehekea mauaji ya watu namna hiyo?
Dini gani haina vichaa ?Zote fake, ila hii ya wavaa vipedo most of them ni vichaa
Dini ni utaahira.Dini gani haina vichaa ?
SawaDini ni utaahira.
Unauliza "nzi" chooni.?Baada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 Gaidi ISMAIL HANNIYEH alionekana kwenye vyombo vya habari akifurahia mauaji hayo na kuonekana akiongoza sala kumshukuru Allah wake kwa kufanikisha mauaji ya kutisha yaliyofanyika siku hiyo Oct 07,2023. Mimi nauliza kwa mjibu wa dini ya kiislamu ni sawa kusherehekea mauaji ya watu namna hiyo?
Baada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 Gaidi ISMAIL HANNIYEH alionekana kwenye vyombo vya habari akifurahia mauaji hayo na kuonekana akiongoza sala kumshukuru Allah wake kwa kufanikisha mauaji ya kutisha yaliyofanyika siku hiyo Oct 07,2023. Mimi nauliza kwa mjibu wa dini ya kiislamu ni sawa kusherehekea mauaji ya watu namna hiyo?
Mkuu katika sheria ya kiislamu kuua imekatazwa labda iwe ni kwa haki, unaposema Hanniyeh ameuwa na amefurahi na kushabihisha kitendo hicho na uislamu unakosea sana japo Hanniyeh kwamba ni muislamu.Baada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 Gaidi ISMAIL HANNIYEH alionekana kwenye vyombo vya habari akifurahia mauaji hayo na kuonekana akiongoza sala kumshukuru Allah wake kwa kufanikisha mauaji ya kutisha yaliyofanyika siku hiyo Oct 07,2023. Mimi nauliza kwa mjibu wa dini ya kiislamu ni sawa kusherehekea mauaji ya watu namna hiyo?
Hao marehemu 46,000 hizo takwimu wewe umezipata wapi?Mkuu katika sheria ya kiislamu kuua imekatazwa labda iwe ni kwa haki, unaposema Hanniyeh ameuwa na amefurahi na kushabihisha kitendo hicho na uislamu unakosea sana japo Hanniyeh kwamba ni muislamu.
Ni vyema kujifunza ni kwanini Hanniyeh ameua na amefurahia, lakini usijaribu kuhusisha na dini yetu ya kiislam kwamba ndivyo ilivyotuamrisha, Hinniyerh sio mtume wala kiongozi wa waislam duniani, na yeye ni binadamu ana mapungufu yake huenda alivyofanya ni sahihi ama amekosea sana. Uislam ni dini sahihi na imekamilika, wala waislam hatumtazami hanniyeh kwamba ndio kioo chetu.
Lakini tunafahamu kwamba ndugu zetu waislam Palestine wanapitia kipindi kigumu sana na mayahudi (Israel) na hii ni history kubwa sana., Netanyahu hadi sasa ameshaua zaidi ya 46,000 binadamu kule Palestine
Nafkiri kwa muhtasari huu utakuwa umejifunza kitu.
Yale sio mauaji ni kumuondoa mvamizi ni sawa na Ukraine wanavyofurahia wakipiga mabomu warusi je ni mauaji au ni vita ya kumuondoa mvamizi? Same na Tanzania tulipokua tunampiga Amin na mabomu kutua huko Uganda na kuua hadi raia wema je hatukushangilia ule ushindi? Kwahiyo kama ambavyo hatukuita mauaji then hata October 7 sio mauaji ni kumuondoa mvamizi.Baada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 Gaidi ISMAIL HANNIYEH alionekana kwenye vyombo vya habari akifurahia mauaji hayo na kuonekana akiongoza sala kumshukuru Allah wake kwa kufanikisha mauaji ya kutisha yaliyofanyika siku hiyo Oct 07,2023. Mimi nauliza kwa mjibu wa dini ya kiislamu ni sawa kusherehekea mauaji ya watu namna hiyo?
Ugaidi ni nini? Mbona Kurds tunaita magaidi lakini wanatambuliwa na serikali ya marekani na wanapewa silaha na pesa kupigana huko Syria? Au ugaidi ni pale tu muislam akipigania haki, ila akifanya mzungu basi inakua "ukomandoo" na "intelijensia"UGAIDI pale wanaposema wanapigania haki zao
Mtoto wa 2000 ndivyo ulivyokaririshwa?Yale sio mauaji ni kumuondoa mvamizi ni sawa na Ukraine wanavyofurahia wakipiga mabomu warusi je ni mauaji au ni vita ya kumuondoa mvamizi? Same na Tanzania tulipokua tunampiga Amin na mabomu kutua huko Uganda na kuua hadi raia wema je hatukushangilia ule ushindi? Kwahiyo kama ambavyo hatukuita mauaji then hata October 7 sio mauaji ni kumuondoa mvamizi.
Hata kwenye Bible Israel ilifanya mauaji ili kuondoa wavamizi lakini mnaita ukombozi na ushujaa ili wakifanya palestina ndio yanaitwa mauaji na ugaidi?
Corrupted western mindset.
Pata muda pitia vyombo vya habari vya ulimwengu japo kwa dakika 5, Aljazeera, BBC, CNN nk. au hata simu yako unaweza ku-google ni watu wangapi Netanyahu ameshaua wapalestine kutokea October 7.,Hao marehemu 46,000 hizo takwimu wewe umezipata wapi?
Clip inaonyesha Haniyeh akisujudu akisema 'Allah Akbar'Kwani wanachopigania wao ni dini au uhuru na utaifa wao ?