Je, alichokifanya Ismail Hanniyeh kufurahia mauaji ya oct 07,2023 ni halali kwa mjibu wa uislamu?

Fanya research mpaka muislam alipe kisasi au hata kuuwa ni baada ya vitibimbi na madhila makubwa ambayo wanafanyiwa na hata kuuliwa watu wao na kuumizwa, mfano mzuri ni Palestine wasilamu hawako huru ata kuingia katika nyumba zao za ibada misikitini wakizuiliwa, wakipigwa na kuuliwa na kubururwa ni mayahudi na wengine kuuliwa na wengi kuwekwa jela bila sababu yoyote, na hii ilifanyika pale palestine miaka nenda miaka rudi. Waislamu ni watu wazuri sana, sijawahi soma mahali popote muislam ameanzisha fujo ama kumuua mtu ni mpaka baada ya kupitia mateso kama hayo.

Baitul Makdis ni nyumba ya historia ambayo kiongozi wetu rasulu Allah Muhammd S.A.W alifanya Ibada ya Israa na Miiraji na inajulikana kisa hiki ni maarufu lakini kwa sababu mayahudi hawapendi waislam wanawazuia tu kwa makusudi, ile october 7, 2023 Hamas ni kama vile walishachoka na madhila ya hawa mayahudi na kuamua kufanya walichofanya.

Palestine ni nchi ambayo wazungu kwa makusudi wamewanyima haki hata ya kumiliki jeshi lao wenyewe, jeshi la Israel tu wale hawawezi kuwa na silaha ni kama vile nchi iliyofungwa miguu na mikono hawako huru sasa hali kama hii unategemea nini. Waislam ni watu wazuri sana
 
Acha Ujinga West Bank kuna mauaji gani?

Kwa hiyo wewe ndiyo wakunipa Lecture niangalie Aljazeera? Hao unaowaita wewe wapalestina unajua waliua wangapi Oct 07,2023? Au kwa akili ya kiduchu wao walikuwa wanaua mbuzi?
Mkuu hiyo october 7, 2023 matatizo hayakuanzia hapo, Palestine walishachoka madhila na mauaji ya watu wao na watu wao wengi kuwekwa jela na kuzuiliwa kuingia katika nyumba zao za Ibada kwa makusudi, kina mama wakipigwa na kuburutwa na kuumizwa miaka nenda miaka rudi, ardhi yao ilipokwa na waisrael na hawakuwa na uhuru wowote na hata sasa, palestine ni nchi ambayo kwa makusudi wazungu wamezuia hata kumiliki jeshi lao wenyewe ni mambo mengi sana, wewe unajua tarehe 7 tu haitakusaidia kitu hii tarehe 7
 
Kwa Sasa anafaudu wale bikra 72 pamoja na mito ya pombe. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜­πŸ€£
 
Kwa hiyo hutaki kuongelea uovu mlioufanya siku hiyo ya Oct 07,2023 kwa kisingizio cha kuwa haikuanzia Oct 07,2023. Kwa akili yako kiduchu unafikiri watu hawatajua au hawajui yaliyofanyika Oct 07,2023 ambapo watu 1,200 waliuwawa na 251 kutekwa nyara na mamia kubakwa na kuteswa na magaidi hao. Wapalestina walichokifanya ni unyama uliopitiliza na wameonyesha ulimwengi ni jinsi gani walivyo na Roho mbaya ya kikatili kupindukia.
 
Hebu soma ulichoandika.
 
Ni 61000 kiongozi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…