Je alichokisema au anachojaribu kukisema lema kina ukwel I?

Lema yuko Canada but anajua kila kitu kinachoendelea Tanzania.
Hajui kila kitu ila anaambiwa vitu vingi na siyo vyote. Vitu vya kuambiwa mara zote hutegemea anae kuambia anataka ufahamu kipi na kipi usikifahamu.

Lema hawezi kuifahamu vizuri kesi ya Mbowe ila anafahamishwa kwa anachotaka kukisikia. Maisha ni kichekesho sana, kwa mwenye ufahamu wa kutosha anaweza kumsikiliza Mwizi ambae ni muuwaji pia?, ama kwa vile yupo upinzani?

Gari haichukuliwi kwa maneno, huchukuliwa kwa silaha na mwizi yeyote wa Magari ni mtumia silaha.

Leo Lema amegeuka malaika?
 
Tunawaambia MaCHADEMA wekeni mawakili wa maana mnaweka comedians wanaokaa kukera polisi badala ya kuexhaust cases. Yaani mtaangukia pua kama kwa Akwilina nawaambia. Yule janja janja yuko zake Belgijiiii anakula soseji.
 
Corona inatisha sana
 
No. Kila mwenye ufahamu anajua. Kesi hii ishahukumiwa tayari. Rejea kauli za Mama hagaya, ona wanavyojichanganya mawakili wa serikali na mashahidi wao. Ona maamuzi ya majaji katika maamuzi ya kesi ndogo mbili. Hapo nionavyo mimi mchezo wote ushachezwa ili Mbowe aishiye jela, ili watu wasidai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, ili ccm itawaletea milele. Mkuu wa nchi keshasema, wewe jaji ni nani hadi umpinge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…