J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Nov 10, 2021 #21 Kalamu1 said: Huna unalojuwa, bali kurukia mifano usiyo na taarifa nayo vizuri. Click to expand... Endelea kukariri!
Kalamu1 said: Huna unalojuwa, bali kurukia mifano usiyo na taarifa nayo vizuri. Click to expand... Endelea kukariri!
Mromboo JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 2,966 Reaction score 6,593 Nov 10, 2021 #22 fisi 2 said: Tunawaambia MaCHADEMA wekeni mawakili wa maana mnaweka comedians wanaokaa kukera polisi badala ya kuexhaust cases. Yaani mtaangukia pua kama kwa Akwilina nawaambia. Yule janja janja yuko zake Belgijiiii anakula soseji. Click to expand... Kesi ya Akwlina mshindi ni nani? Mshalipa hela za wananchi mlizopora kwa kisingizio cha cha faini za kesi ya uongo ya kina Mbowe et all?
fisi 2 said: Tunawaambia MaCHADEMA wekeni mawakili wa maana mnaweka comedians wanaokaa kukera polisi badala ya kuexhaust cases. Yaani mtaangukia pua kama kwa Akwilina nawaambia. Yule janja janja yuko zake Belgijiiii anakula soseji. Click to expand... Kesi ya Akwlina mshindi ni nani? Mshalipa hela za wananchi mlizopora kwa kisingizio cha cha faini za kesi ya uongo ya kina Mbowe et all?
K KalamuTena JF-Expert Member Joined Jul 7, 2018 Posts 13,187 Reaction score 17,167 Nov 10, 2021 #23 johnthebaptist said: Endelea kukariri! Click to expand... Ni kipi cha "kukariri" katika hayo maneno niliyoandika hapo, huoni unazidi kujionyesha kuwa kama 'robot' la matope!
johnthebaptist said: Endelea kukariri! Click to expand... Ni kipi cha "kukariri" katika hayo maneno niliyoandika hapo, huoni unazidi kujionyesha kuwa kama 'robot' la matope!