Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Kuna kipindi hapo nyuma alikiba ali potea kabisa, Hakuwa tena yule tuliyemzoea akitoa kazi zake bampa to bampa, Nakumbuka alitoaga ngoma ya dushelele ndo ukawa mwanzo wa ukimya uliostua wengi, Taarifa za mtaani zilizovuma ni kwamba alishushwa maksudi na kituo cha media kimoja maarufu hapa nchini kwa vile alikuwa juu, Ali kiba hakuwa na usimamizi mzuri hivyo ilikuwa rahisi kwa kile kiyuo kumshusha fasta.
Kipindi hicho hasikiki Kuna msanii alianza kutoboa kwa kasi ambae nadhani wote tunamjua, Sasa kama ilivyo kawaida ya kituo kile cha media msanii akiwa juu sana inabidi awe stabilized kwa kushushwa lakini imekuwa ngumu sana kumshusha huyu msanii kwa sababu ana mashabiki kibao, mameneja wazuri, wanasheria, n.k
Je, Mnadhani Ali Kiba alirudishwa upya maksudi ili ajaribu kumshusha huyu kijana mdogo ambae ndio kwana hata hafikisha miaka 30 lakini ana mafanikio kuzidi mwanamuziki yeyote aliewahi kutokea afrika mashariki.