Je alikiba alivyoshushwa kwa muda mrefu, alipandishwa maksudi upya?

Je alikiba alivyoshushwa kwa muda mrefu, alipandishwa maksudi upya?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Kuna kipindi hapo nyuma alikiba ali potea kabisa, Hakuwa tena yule tuliyemzoea akitoa kazi zake bampa to bampa, Nakumbuka alitoaga ngoma ya dushelele ndo ukawa mwanzo wa ukimya uliostua wengi, Taarifa za mtaani zilizovuma ni kwamba alishushwa maksudi na kituo cha media kimoja maarufu hapa nchini kwa vile alikuwa juu, Ali kiba hakuwa na usimamizi mzuri hivyo ilikuwa rahisi kwa kile kiyuo kumshusha fasta.

Kipindi hicho hasikiki Kuna msanii alianza kutoboa kwa kasi ambae nadhani wote tunamjua, Sasa kama ilivyo kawaida ya kituo kile cha media msanii akiwa juu sana inabidi awe stabilized kwa kushushwa lakini imekuwa ngumu sana kumshusha huyu msanii kwa sababu ana mashabiki kibao, mameneja wazuri, wanasheria, n.k

Je, Mnadhani Ali Kiba alirudishwa upya maksudi ili ajaribu kumshusha huyu kijana mdogo ambae ndio kwana hata hafikisha miaka 30 lakini ana mafanikio kuzidi mwanamuziki yeyote aliewahi kutokea afrika mashariki.
 
MKUU HAKUSHUSHWA NA MTU WALA RADIO.
Ukiona mtu anafikia hatua ya kuimba "usiniseme kama napenda kula" huhutaji kujiuliza mara mbili
Ni kawaida kwani kuna mtu aliimba nataka kulewa cjui kipi bora kati ya kupenda kula na kulewa
 
Kilichomshusha Kiba si media bali ni kufanya kazi kimazoea pasipo kuweka juhudi, jamaa ni ana kipaji ila hayupo serious na kazi yake ndiyo kinachomwangusha. Angekuwa serious management aliyopo angeifanyia mabadiliko
 
Zamani alikuwa hajui kama muziki ni kazi, alikuwa anaimba kupata mademu tu, mpaka wamekuja watu wengine wakapiga hela ndio akashtuka.
 
Back
Top Bottom