Je, aliyefungwa na Mwamba Azam FC na aliyefungwa na Mchovu Ihefu FC nani ni wa Kudharaulika na Kuchekwa?

Je, aliyefungwa na Mwamba Azam FC na aliyefungwa na Mchovu Ihefu FC nani ni wa Kudharaulika na Kuchekwa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Katika Uzi huu Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE ni kusoma tu Comments zenu huku nikimuandaa Ng'ombe aliyenona apelekwe haraka Mbarali Mkoani Mbeya ili Wachezaji wa Ihefu FC waweze Kumla ila Mshambuliaji Lenny Kisu apewe Maini huku Beki Juma Nyosso apewe Maini pamoja na Figo kwa Kumuweka Mtetemaji Mfukoni kwa dakika zote 90 za Mchezo.

Tuvumiliane tu kwa leo hakuna namna.
 
Jamani inatoshaaa!!!

Hata vilabu vikubwa ni kawaida kukuta wamecheza mechi zaidi ya 20 bila kufungwa ila timu ya kawaida kabisa inakuja kumaliza hio unbeaten.

Hata Simba waiwahi kuharibiwa unbeaten yaobna Kagera Sugar mbele ya Rais tena uwanja wa nyumbani mechi ya mwisho kabisa ya msimu

Yote kwa yote rekodi imeandikwa na kusakafiwa, Hakuna timu yenye unbeaten nyingi za ligi kuu yetu inayofikia rekodi ya Yanga, Unbeaten 49!!

.THIS IS FOOTBALL,
 
jamani inatoshaaa!!!

hata vilabu vikubwa ni kawaida kukuta wamecheza mechi zaidi ya 20 bila kufungwa ila timu ya kawaida kabisa inakuja kumaliza hio unbeaten.

hata Simba waiwahi kuharibiwa unbeaten yaobna Kagera Sugar mbele ya Rais tena uwanja wa nyumbani mechi ya mwisho kabisa ya msimu

Yote kwa yote rekodi imeandikwa na kusakafiwa, Hakuna timu yenye unbeaten nyingi za ligi kuu yetu inayofikia rekodi ya Yanga, Unbeaten 49!!

.THIS IS FOOTBALL,
Sawa tunataka zile jezi mlizoandaa zikiwa na logo ya mwiko nyuma mzivae
 
Inasikitisha timu ndogo imekataa bahasha wakaamua kujikamulia mwali aliyeliwa na wageni ila yeye alijiita bikra sijui wageni walikuwa wanamla upande gani
Inafikirisha Sana timu ndogo Kama Ihefu inakataa bahasha wakati timu kubwa Kama Simba SC a k a Ngada SC wao wanapokea bahasha kwa kwenda mbele.😂😂😂
 
Udogo kiumri au ushamba tu wa kuja mjini kituo cha bus za mikoani kikiwa ubungo,ila hii si mara ya kwanza kwa Yanga kufungwa na timu inayoburuza mkia,miaka ya nyuma Yanga ikiwa ishatangaza ubingwa na ngada fc ikiwa inaburuza mkia kwenye janga la kushuka daraja,ngada alimfunga Yanga na kunusurika kushuka daraja
 
Mwaka upi acha mbambaa
 
Kigeu geu [emoji28]
Screenshot_20221130-074752.jpg
 
Back
Top Bottom