Je, aliyefungwa na Mwamba Azam FC na aliyefungwa na Mchovu Ihefu FC nani ni wa Kudharaulika na Kuchekwa?

Je, aliyefungwa na Mwamba Azam FC na aliyefungwa na Mchovu Ihefu FC nani ni wa Kudharaulika na Kuchekwa?

Kwahivyo unataka kusema game ilikuwa Simba dhidi ya Yanga? Ndo Yanga akafungwa na Simba SC ili kuinusuru kushuja daraja.

Acha upotoshaji wewe, yaonyesha umesimuliwa tu na ukaingia king, hakuna mwaka ambao Yanga alikubali kufungwa na Simba ili kuinusuru kushuja daraja.

Simba alishinda dhidi ya African sports ndo alama zikambakisha, na Yanga alifungwa dhidi ya Coastal, sasa hapo Yanga ilinusuru vipi Simba..?
Ilikuwa mwaka 1988/89 simba waliifunga Yanga 2-1 na kunusurika kushuka daraja.
 
A
Timu kushika mkia mbona kawaida sana kufanya maajabu, Hujui kwamba hata Simba alifanya maajabu ya kujinusuru kushuka daraja baada ya kushika nafas za mikiani ??
Limfunga nani akiwa mkiani. Alimfunga Yanga au
 
Kwahivyo unataka kusema game ilikuwa Simba dhidi ya Yanga? Ndo Yanga akafungwa na Simba SC ili kuinusuru kushuja daraja.

Acha upotoshaji wewe, yaonyesha umesimuliwa tu na ukaingia king, hakuna mwaka ambao Yanga alikubali kufungwa na Simba ili kuinusuru kushuja daraja.

Simba alishinda dhidi ya African sports ndo alama zikambakisha, na Yanga alifungwa dhidi ya Coastal, sasa hapo Yanga ilinusuru vipi Simba..?!
Kukusaidia tu twende na fact soma hiyo link wewe wa kuja SHIKAMKONO: Niliiokoa Simba isishuke daraja, nikaidhiri Yanga
 
Back
Top Bottom