GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sema kuvunjiwa heshima sio rekodijamani inatoshaaa!!!
hata vilabu vikubwa ulaya huvunjiwa rekodi zao na timu za kawaida kabisa.
THIS IS FOOTBALL
Unbeaen 49 ni rekodi ambayo hakuna timu yoyote imefikia ligi kuu yetuSema kuvunjiwa heshima sio rekodi
Sawa ila kuja kuwa stoppable na hao wa mkiani nayo ni rekodi.Unbeaen 49 ni rekodi ambayo hakuna timu yoyote imefikia ligi kuu yetu
Inasikitisha timu ndogo imekataa bahasha wakaamua kujikamulia mwali aliyeliwa na wageni ila yeye alijiita bikra sijui wageni walikuwa wanamla upande ganiUnbeaen 49 ni rekodi ambayo hakuna timu yoyote imefikia ligi kuu yetu
Timu kushika mkia mbona kawaida sana kufanya maajabu, Hujui kwamba hata Simba alifanya maajabu ya kujinusuru kushuka daraja baada ya kushika nafas za mikiani ??Sawa ila kuja kuwa stoppable na hao wa mkiani nayo ni rekodi.
Sawa tunataka zile jezi mlizoandaa zikiwa na logo ya mwiko nyuma mzivaejamani inatoshaaa!!!
hata vilabu vikubwa ni kawaida kukuta wamecheza mechi zaidi ya 20 bila kufungwa ila timu ya kawaida kabisa inakuja kumaliza hio unbeaten.
hata Simba waiwahi kuharibiwa unbeaten yaobna Kagera Sugar mbele ya Rais tena uwanja wa nyumbani mechi ya mwisho kabisa ya msimu
Yote kwa yote rekodi imeandikwa na kusakafiwa, Hakuna timu yenye unbeaten nyingi za ligi kuu yetu inayofikia rekodi ya Yanga, Unbeaten 49!!
.THIS IS FOOTBALL,
Mechi ijayo tafadhali dakika ya 62 tusimame tupige makofi kwa ajili ya ule mwiko kule nyuma uliovunja unbeatenAzam FC na Simba ao wote vibonde wa Yanga Sasa wajipange wenyewe yupi afadhali.
Ungekuwa unaongea ningesema unaongelea sehemu ya haja kubwaAzam FC na Simba ao wote vibonde wa Yanga Sasa wajipange wenyewe yupi afadhali.
Inafikirisha Sana timu ndogo Kama Ihefu inakataa bahasha wakati timu kubwa Kama Simba SC a k a Ngada SC wao wanapokea bahasha kwa kwenda mbele.πππInasikitisha timu ndogo imekataa bahasha wakaamua kujikamulia mwali aliyeliwa na wageni ila yeye alijiita bikra sijui wageni walikuwa wanamla upande gani
Mwaka upi acha mbambaaUdogo kiumri au ushamba tu wa kuja mjini kituo cha bus za mikoani kikiwa ubungo,ila hii si mara ya kwanza kwa Yanga kufungwa na timu inayoburuza mkia,miaka ya nyuma Yanga ikiwa ishatangaza ubingwa na ngada fc ikiwa inaburuza mkia kwenye janga la kushuka daraja,ngada alimfunga Yanga na kunusurika kushuka daraja
Nilitaka nisikujibu hadi unitumie ile picha dm ukiwa busisi bridge πMwaka upi acha mbambaa
Mwisho wa mwaka mkuu...nijibu sasaNilitaka nisikujibu hadi unitumie ile picha dm ukiwa busisi bridge π
Mkuu, tatizo ni zile tambo za "HATUTA FUNGWA, NI MAHAKAMA KUU TU, NDIYO ITAKAYOWEZA KUTUFUNGA! "Unbeaen 49 ni rekodi ambayo hakuna timu yoyote imefikia ligi kuu yetu