Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,961
DuNje ya Box
Naomba kuuliza
Mleta mada ni ke au me
Sijaelewa
Ni me.Nje ya Box
Naomba kuuliza
Mleta mada ni ke au me
ni kweli kwamba minyoo ya amoeba .
Biology haijakusaidia Mkuu ondoa zana potofuHabari ya majukumu wanajamvi,
naombeni kuuliza kwa wanaolifahamu hili kama kichwa cha uzi huu kinavyo sema, ni kweli kwamba minyoo ya amoeba inapunguza uwezo wa uume kusimama wakati wa sex.
Jambo hili nimeliona katika platform mbali mbali na coment mbalimbali humu hum Jfm, nilihitaji kufahamu na madhara ya kusumbuliwa na amoeba kwa mda mrefu.
Asanteni.
Aache pia kula kachumbari na mishikaki iliyoandaliwa katika mazingira duni...Mkuu huo ugonjwa kama unakusumbua mara kwa mara inabidi ujitathmini. Maana mara nyingi huwapata watoto wadogo.
Unajua kwanini?
Watoto wadogo huogeshewa kwenye beseni. Unakuta mtoto kajisaidia haja kubwa lakini mtu bila kujua anamuogeshea maji hayo aliyotumia kumsafishia haja kubwa. Mtoto wakati huo, kila maji yakipita mdomoni anafurahi kuyachezea mdomoni na kuyameza mengine. Matokeo yake anapata hayo madhara ya kuumwa amoeba/amiba kama tulivyozoea.
Ukitoka haja kubwa nawa mikono yako vizuri na sabuni mkuu. Huo ugonjwa hutakuja kuupata tena.
Nashukuru Mungu, tangu nimejitambua sijawahi pata huu ugonjwa. Na sikumbuki kama nimewahi upata, labda utotoni.Aache pia kula kachumbari na mishikaki iliyoandaliwa katika mazingira duni...
.....Sio watoto tu hata watu wazima huwapata inategemea na mazingira.