mheshimiwamtemi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 291
- 218
Simu imeibiwaTakriban mwaka wa 4 sasa tupo katika mahusiano na mpenzi wangu. Maisha ya uhusiano wetu yametawaliwa furaha kwa muda mrefu lakini leo ni siku ya tatu amesafiri kikazi Dodoma na kilichonistua zaidi ni kutokupatikana kwake kupitia simu na njia nyingine za mawasiliano. Sio kawaida yake.
Najiuliza sijui ananisaliti.? Daah!
Vipi ulifanikiwa angalau mara moja kuingia upagoni?kama hukufanya hivyo pole sana broo kwa yanayotokea mchunguze sanaTakriban mwaka wa 4 sasa tupo katika mahusiano na mpenzi wangu. Maisha ya uhusiano wetu yametawaliwa furaha kwa muda mrefu lakini leo ni siku ya tatu amesafiri kikazi Dodoma na kilichonistua zaidi ni kutokupatikana kwake kupitia simu na njia nyingine za mawasiliano. Sio kawaida yake.
Najiuliza sijui ananisaliti.? Daah!
Ndo ivyo ma wivu yanamusumbua tuuh uyo jamah nothing else mim mwenyewe ninampenzi wangu mwanzoni nilikuwa na mawivu ya ajabu kuna mbinu ya kivita nimeitumia sikuizi sina wivu .......... KabisaKwanini usihisi kuwa kapatwa tatizo?
Maisha yamebadilika sana, mapenzi na uchumiNdo ivyo ma wivu yanamusumbua tuuh uyo jamah nothing else mim mwenyewe ninampenzi wangu mwanzoni nilikuwa na mawivu ya ajabu kuna mbinu ya kivita nimeitumia sikuizi sina wivu .......... Kabisa