mheshimiwamtemi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 291
- 218
Takriban mwaka wa 4 sasa tupo katika mahusiano na mpenzi wangu. Maisha ya uhusiano wetu yametawaliwa furaha kwa muda mrefu lakini leo ni siku ya tatu amesafiri kikazi Dodoma na kilichonistua zaidi ni kutokupatikana kwake kupitia simu na njia nyingine za mawasiliano. Sio kawaida yake.
Najiuliza sijui ananisaliti.? Daah!
Najiuliza sijui ananisaliti.? Daah!