Je, ananisaliti?

Je, ananisaliti?

mheshimiwamtemi

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
291
Reaction score
218
Takriban mwaka wa 4 sasa tupo katika mahusiano na mpenzi wangu. Maisha ya uhusiano wetu yametawaliwa furaha kwa muda mrefu lakini leo ni siku ya tatu amesafiri kikazi Dodoma na kilichonistua zaidi ni kutokupatikana kwake kupitia simu na njia nyingine za mawasiliano. Sio kawaida yake.

Najiuliza sijui ananisaliti.? Daah!
 
Simu imeibiwa
 
Miaka 4 mingi mkuu, fanya muhalalishe. Kwenye miaka 4 ni rahisi mtu kuwaza anatumika tu, na likitokea jitu liko serious linatishia kumuoa linapewa mzigo believe me. Hata kama nalo ni lipitaji tu
 
Takriban mwaka wa 4 sasa tupo katika mahusiano na mpenzi wangu. Maisha ya uhusiano wetu yametawaliwa furaha kwa muda mrefu lakini leo ni siku ya tatu amesafiri kikazi Dodoma na kilichonistua zaidi ni kutokupatikana kwake kupitia simu na njia nyingine za mawasiliano. Sio kawaida yake.

Najiuliza sijui ananisaliti.? Daah!
Vipi ulifanikiwa angalau mara moja kuingia upagoni?kama hukufanya hivyo pole sana broo kwa yanayotokea mchunguze sana
 
Ndo ivyo ma wivu yanamusumbua tuuh uyo jamah nothing else mim mwenyewe ninampenzi wangu mwanzoni nilikuwa na mawivu ya ajabu kuna mbinu ya kivita nimeitumia sikuizi sina wivu .......... Kabisa
Maisha yamebadilika sana, mapenzi na uchumi
 
Back
Top Bottom