Je, anaweza kuhama kwenda combination ya PCB kwa matokeo haya?

Je, anaweza kuhama kwenda combination ya PCB kwa matokeo haya?

siyo

Member
Joined
May 13, 2020
Posts
9
Reaction score
5
Samahani na mdogo wangu hapa kapangiwa comb HGK ila anataka kuhamia PCB wakati huo ana C ya Chemistry, Bios ana C ila Physics ana D.

Je, anaweza kuhama kwenda comb hiyo ya PCB?
 
Usimshauri mkuu, tuulize sisi tuliosoma hiyo combi ni kichefuchefu, labda kama una hakika anajiweza hasa huko hakuna kurembe ni msuli mwanzo mwisho.
 
Performance yake nzuri kutoka form one na mtihani wa mwisho practical ilimzingua ila yuko vizuri tyu
if its his passion let him decide, but mshauri anataka kuwa nani baada ya shule? let him chase his dreams
 
Samahani na mdogo wangu hapa kapangiwa comb hgk ila anataka kuhamia PCB wakati huo ana c ya chemistry bios ana c ila physics ana d je anaweza kuhama kwenda comb hiyo ya PCB
Kama an ndoto y kuwa Dr aende diploma clinical medicine
 
Performance yake nzuri kutoka form one na mtihani wa mwisho practical ilimzingua ila yuko vizuri tyu
practical ya physics ndiyo ilifanya akapata D! Mimi nadhani kama kwenye paper 1 angekuwa vizuri sana asingepata hiyo D. Kwa ushauri wangu, physics ishamkataa, atafute comb nyingine alizofaulu vizuri. Kama ana ndoto ya masuala ya afya, anaweza kuanza na Diploma ya Clinical Medicine.
 
Samahani na mdogo wangu hapa kapangiwa comb HGK ila anataka kuhamia PCB wakati huo ana C ya Chemistry, Bios ana C ila Physics ana D.

Je, anaweza kuhama kwenda comb hiyo ya PCB?
Abaki huko huko tu HGK ,kama physics ya O lev anapata D basi advance asisome kabisa advance physics maana atapata F akinusurika nusurika ataambulia S.
 
Kwahiyo mkuu nimwambie asiende kusoma hiyo pcb akasome HGK.
Kama anayapenda masomo ya PCB na ni mtu mwenye jitihada muache aende anayo nafasi ya kufanya vizuri, lakini awe makini sana na Physics.
 
Back
Top Bottom