Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mkuu nimwambie asiende kusoma hiyo pcb akasome HGK.Usimshauri mkuu, tuulize sisi tuliosoma hiyo combi ni kichefuchefu, labda kama una hakika anajiweza hasaa huko hakuna kurembe ni msuli mwanzo mwisho
NDIO MKUUKo mkuu nimwambie asiende kusoma hiyo pcb akasome hgk
Ngoja nimshauri maana dogo kakazania kweel hiyo combNDIO MKUU
Matokeo yake yakoje? na historical performance yake ikoje kwenye sayansi?Ngoja nimshauri maana dogo kakazania kweel hiyo comb
Performance yake nzuri kutoka form one na mtihani wa mwisho practical ilimzingua ila yuko vizuri tyuMatokeo yake yakoje? na historical performance yake ikoje kwenye sayansi?
Anayo c hiyo ya George yan ana two ya 21 kapata d physics tu mengine yote ana cKama ana C ya Geography bora ahamie CBG, PCB ishamkataa
if its his passion let him decide, but mshauri anataka kuwa nani baada ya shule? let him chase his dreamsPerformance yake nzuri kutoka form one na mtihani wa mwisho practical ilimzingua ila yuko vizuri tyu
Okay sawaaa mkuu asanteif its his passion let him decide, but mshauri anataka kuwa nani baada ya shule? let him chase his dreams
Kama an ndoto y kuwa Dr aende diploma clinical medicineSamahani na mdogo wangu hapa kapangiwa comb hgk ila anataka kuhamia PCB wakati huo ana c ya chemistry bios ana c ila physics ana d je anaweza kuhama kwenda comb hiyo ya PCB
practical ya physics ndiyo ilifanya akapata D! Mimi nadhani kama kwenye paper 1 angekuwa vizuri sana asingepata hiyo D. Kwa ushauri wangu, physics ishamkataa, atafute comb nyingine alizofaulu vizuri. Kama ana ndoto ya masuala ya afya, anaweza kuanza na Diploma ya Clinical Medicine.Performance yake nzuri kutoka form one na mtihani wa mwisho practical ilimzingua ila yuko vizuri tyu
Abaki huko huko tu HGK ,kama physics ya O lev anapata D basi advance asisome kabisa advance physics maana atapata F akinusurika nusurika ataambulia S.Samahani na mdogo wangu hapa kapangiwa comb HGK ila anataka kuhamia PCB wakati huo ana C ya Chemistry, Bios ana C ila Physics ana D.
Je, anaweza kuhama kwenda comb hiyo ya PCB?
Haiwezi hata kidogo.Ngoja nimshauri maana dogo kakazania kweel hiyo comb
Kama anayapenda masomo ya PCB na ni mtu mwenye jitihada muache aende anayo nafasi ya kufanya vizuri, lakini awe makini sana na Physics.Kwahiyo mkuu nimwambie asiende kusoma hiyo pcb akasome HGK.
Mtu akililia wembe MPE mim mwenyewe nilichaguliwa 2015 HGE nika amia CBG moto wa bio na chem ni hatari msuri mwanzo mwisho unaweza kuwa chizi broNgoja nimshauri maana dogo kakazania kweel hiyo comb