Je angekuwa Mike Tyson ama The Rock je Will Smith ungewapiga makofi

Je angekuwa Mike Tyson ama The Rock je Will Smith ungewapiga makofi

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,236
Reaction score
10,774
"Ilinisikitisha sana kuona mwanaume akipigwa makofi na kudhalilishwa namna hiyo tena na Mwanaume mwenzake. Taswira hiyo imeumiza sana nafsi yangu. Ilinikasirisha sana. Naumia sana kuona mtu anateseka namna hiyo, haswa kwenye mazingira ya watu kama haya."

Nakumbuka Jazzy Jeff alifanya mahojiano hivi karibuni ambapo alisema kama Mike Tyson angekuwa kwenye jukwaa, Will Smith angefanya hivyo hivyo. Na siamini kwamba angeweza.
1744996886894.jpg


Je ikiwa The Rock ndo yupo nafasi ya Chris Rock, ni wazi hakuna kitu ambacho kingetokea pale, wala Will Smith asingeweza kwenda kumpiga kibao. Will alimuona Chris Rock ni mnyonge hivyo kutumia nafasi ile kuonesha hilo.

Mke wako alitoka nje ya ndoa na kijana mdogo sawa na mtoto wako na ukakubali kuwa amekosea na kumsamehe. Dunia inafahamu kuwa tayari wewe upo kundi la Simps. Watoto wako wanasimuliana habari ya Marehemu Tupac na vile Mama yao ameishi na huzuni ya kifo cha Tupac na wewe kama Baba umelibeba hilo na kulitunza.

Dunia inakuonea huruma kwa sababu August Alsina ameshafachua upekee wa mke wako ila ukaamua kupunguza machungu yako kwa mwanaume mwenzako.

Maneno ya Michael Jai White alipokuwa akihojiwa na Supreme Fitness.
 
Naamini ile haikutokea tu randomly.
 
"We are here to make Love" Afisa Donati alikuja kuweka Sawa mkakati.
 
Back
Top Bottom