Je, Anthony Edwards ndio Next NBA Legend?

East hakuna timu ngumu sana kulinganisha n West. Wolves wana defence kali na offense ya uhakika.

Wolves kitimu wapo vizuri sana.

Wanapata shida series yao na dallas sababu ya watu wawili tu ambao dallas wanao.

Luka na kyrie irving ndio best finishers kwenye ligi ya NBA na wote wapo dallas. Ball handling yao na basketball IQ ipo juu sana. Hao ndio wanawatesa wolves. Ila sio timu ya dallas mavericks.

Akitokea mmoja akaumia tu ama akapata faul trouble wolves wanavuka kwa urahisi.

Maana akiwa mmoja ni rahisi kum double mark. Ila wakiwa wote wawili uwanjani ni risk ku double mark mmoja maana utampa nafasi mwingine kufanya anachokitaka.

Maana kwenye ulinzi uki double mark maana yake umepeleka watu wawili wakamlinde mtu mmoja hivyo, umeua namba moja hivyo pengo la position yake linabaki wazi. Sasa imagine una m double mark luka halafu kyrie unamuachia njia wazii.. utalia machozi ya damu
 
Daaah. Ni kazi kwelikweli. Nikikumbuka enzi za Luca Doncic akiwa madrid alisumbua wazee wa Euroleague hadi wakaumwa nyonga. Hapo kuwazuia Dallas ombeeni aumie mmoja kati ya Doncic na Irving.
 
We're Celtics.Ukizingatia Tyrese Huliburton kaumia na wanamtegemea Yule football wao Pascal Siakami...tunamsubiri Dallas Mavs
 
Shida walioipata timberwolves na celtics wataipata pia.

Only way ya kuwazuia mavs ni mbinu za kihuni. Yaani luka na kyrie umiza mmoja asicheze.

Ila wakiwa wote uwanjani watawatesa sana celtics mentally na physically. Maana wana basketball IQ na skills za hali ya juu sana kuliko wachezaji wote wa boston. Dawa ni kuumiza mmoja. Abaki mmoja uwanjani. Huyo mmoja anayebaki anakuwa double marked
 
Hata mavs wana kazi ya kuwamark Tatum na Brown (the new Larry Bird)
 
Tulikua tunajadili hili la Dou na jamaa mmoja akasema timu zote zinabebwa na Duo..ili uwe title contender lazima uwe na two all stars/big stars wawili na average players sasa wengine kwaajili ya Defence..ukiangalia ata sisi Celtics ukimtoa mmoja wapo kati ya Tatum au Jaylen Brown ni matatizo..Msimu wa 2020/2021 wakati Bucks wanabeba NBA championship Wale Nets walikuwa na Kelvin Dyurant na Kyrie Irving, baada ya Kyrie kuumia KD aliteseka sana kuibeba Nets pekeake had wakapigwa..Ukiangalia NBA champions kuanzia 2015 hadi 2023 timu zote zilizobeba ubingwa zilikua na Duo, ebu toa hao wachezaji wawili vinara kama wangebeba huo ubingwa.
Wolves kitimu wapo vizuri sana.

Wanapata shida series yao na dallas sababu ya watu wawili tu ambao dallas wanao.

Luka na kyrie irving ndio best finishers kwenye ligi ya NBA na wote wapo dallas. Ball handling yao na basketball IQ ipo juu sana. Hao ndio wanawatesa wolves. Ila sio timu ya dallas mavericks.

Akitokea mmoja akaumia tu ama akapata faul trouble wolves wanavuka kwa urahisi.

Maana akiwa mmoja ni rahisi kum double mark. Ila wakiwa wote wawili uwanjani ni risk ku double mark mmoja maana utampa nafasi mwingine kufanya anachokitaka.

Maana kwenye ulinzi uki double mark maana yake umepeleka watu wawili wakamlinde mtu mmoja hivyo, umeua namba moja hivyo pengo la position yake linabaki wazi. Sasa imagine una m double mark luka halafu kyrie unamuachia njia wazii.. utalia machozi ya damu
 
Wameforce game 5.

Ngoja tuone game 5 itaenda vp, wasije wakaandika history mpya hawa jamaa

Wanaweza wakaandika historia japo ni ngumu sana.

Kyrie irving alikuwa na bad day leo amefunga 16 points ,, amekosa 3 points zaidi ya 10 alizojaribu . ila bado wolves wameshinda kwa tofauti ya point 5 tu.

sitaki kuamini kama bad day kwa kyrie kama leo itakuwa kwenye game zote 3 zilizobaki. na wolves na wao hawatapata bad day kwa ANT ama KAT kwenye hizo game zote 3 zilizobaki
 
Unakumbuka game 1 na game 2 ushindi wa dallas ulikua by very small difference hasa game 2 walishinda kwa 1 point difference game 1 walishinda kwa points 3. What if Wolves nao wakashinda kwa hizo hzo differences ndg michezo 2 ijayo?

Tusubiri game 5 friday tuone watatokaje wolves. Ant man yupo desperate sana, and nothing is dangerous like a desperate wolf.
 
Ameongelea bad day ya kyrie irving kama ya leo haitaweza kutokea kila siku.

Its impossible kwa kyrie irving kufunga point chache kama point 16 kama alizofunga leo kwenye mechi zote 4 mfulizo. Lazima kuna mechi atawaka kama kawaida yake Na hiyo ndio itaclose series. Maana mechi moja tu mavs wanaitaji kushinda huku wolves wanaitaji mechi 3 mfululizo kushinda zote

Its impossible kwa kyrie irving kukosa more than 10. 3 points attempt kwenye mechi 4 mfululizo.
 
Unakumbuka game 1 na game 2 ushindi wa dallas ulikua by very small difference hasa game 2 walishinda kwa 1 point difference game 1 walishinda kwa points 3. What if Wolves nao wakashinda kwa hizo hzo differences ndg michezo 2 ijayo?

Tusubiri game 5 friday tuone watatokaje wolves. Ant man yupo desperate sana, and nothing is dangerous like a desperate wolf.

Desperate wolves katia aibu kafungwa kwa point zaidi ya 20

Nazani umeona kilichotokea. Kyrie irving alichokifanya game 5. Karudi kwenye uhalisia wake kapiga 36 points. Game 4 wolves walitoboa sababu kayrie irving alikuwa na bad day.

Hata celtics watapata shida sana kyrie irving akikiwasha.

Sababu Luca yeye hana shida kila siku yupo vile vile.
 
Back
Top Bottom