East hakuna timu ngumu sana kulinganisha n West. Wolves wana defence kali na offense ya uhakika.
Wolves kitimu wapo vizuri sana.
Wanapata shida series yao na dallas sababu ya watu wawili tu ambao dallas wanao.
Luka na kyrie irving ndio best finishers kwenye ligi ya NBA na wote wapo dallas. Ball handling yao na basketball IQ ipo juu sana. Hao ndio wanawatesa wolves. Ila sio timu ya dallas mavericks.
Akitokea mmoja akaumia tu ama akapata faul trouble wolves wanavuka kwa urahisi.
Maana akiwa mmoja ni rahisi kum double mark. Ila wakiwa wote wawili uwanjani ni risk ku double mark mmoja maana utampa nafasi mwingine kufanya anachokitaka.
Maana kwenye ulinzi uki double mark maana yake umepeleka watu wawili wakamlinde mtu mmoja hivyo, umeua namba moja hivyo pengo la position yake linabaki wazi. Sasa imagine una m double mark luka halafu kyrie unamuachia njia wazii.. utalia machozi ya damu