Je, Askofu Gwajima akihudhuria kesi ya Tundu Lissu atakuwa amejivua uanachama wa CCM?

Kwani wana CCM wamezuiliwa kuhudhuria mapambano ya ukombozi?
 
Nauliza tu kama askofu Gwajima atahudhuria kesho kisutu atakuwa amejivua uanachama wa CCM

Kesi ya uhaini maana yake Serikali ya CCM ilitaka kutolewa mahakamani 🐼
Waombe Moderator wabadilishe kichwa cha uzi mkuu kwani kule umemtaja Kakobe ila uzi umemtaja Gwajima.
 
Nauliza tu kama askofu Gwajima atahudhuria kesho kisutu atakuwa amejivua uanachama wa CCM

Kesi ya uhaini maana yake Serikali ya CCM ilitaka kutolewa mahakamani 🐼
Utakuwa umelewa Bwashee!
Embu andika tena poyoyo?
 
John Mbatizaji umekunywa glass ya ngapi, kichwa cha uzi n mchungaji kakobe Ila mada no Mchungaji gwajima
 
Nauliza tu kama askofu Gwajima atahudhuria kesho kisutu atakuwa amejivua uanachama wa CCM

Kesi ya uhaini maana yake Serikali ya CCM ilitaka kutolewa mahakamani 🐼
FB_IMG_1748766810712.jpg
 
Nauliza tu kama askofu Gwajima atahudhuria kesho kisutu atakuwa amejivua uanachama wa CCM

Kesi ya uhaini maana yake Serikali ya CCM ilitaka kutolewa mahakamani 🐼

Kwani kuhudhuria mahakamani maana yake umechukua upande? Wazee nao huwa Wanakuwa wapumbavu? Wanaogopa nini sasa waliyobakisha?
 
Sioni sababu labda figisu zetu, nani anajua kama Gwajima ana ukaribu urafiki au mapenzi tuu kwa Lisu? Kuna watu wameoleana ccm na chadema, hawa vipi
 
Kesi ya Lissu ni dhidi ya Jamhuri na sio dhidi ya CCM. Ni mjinga peke yake atakayewavua wengine uanachama wao kwa kuhudhuria kesi inayohusu jamhuri.
Kwani unawaona wanafikiri sawasawa...!?
 
Back
Top Bottom